Technologia ya kuzungumza na wafu imeshindikana

Technologia ya kuzungumza na wafu imeshindikana

Heri lee

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
981
Reaction score
537
Licha ya dunia yetu kukua sana kwa sayansi na technology hadi kufikia binadamu kwenda sayari nyingine pia katika mawasiliano na pia anga za mwili wa binadamu ambapo mwaka 2025 kuna mpango wa kuunda artificial electronic bone hakutakuwa tena na vilema dunia
Pia wigo wa michezo mambo ya goal technology na VRA na mambo mengi ya sayansi yanazidi kukua lakini technology ya kuzungumza na wafu iko wapi wataalamu?
 
MKUU ULISIKIA WAPI HII?MAANA KWA MTAZAMO WA WAKRISTU MTU ANAPOKUFA BASI YAKE YAMEKWISHA NA HAWEZI SEMA,SIKIA WALA KUONA.
Kwa maana nyingine kumbukumbu lake halipo
 
wafu.. kuongea nao!! basi hao hawatakuwa wafu ni hai.. maana kiumbe hai ndio anasifa ya kuongea.
Alasivyo unataka kusoma hapa mambo ya dhahania!
 
Mpaka ifike 2020 tutakua na maswali mengi sana maana hili kama umuliza kipindi cha uchaguzi mdogo tu wa marudio.
 
anatakakuongea na marehemu babake,watoto hawa bwana baba zenu wakiwapo mnawaonyesha kiburi wakishakufa ndiyo mtake kuongea nao?
 
Back
Top Bottom