Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
wanakadiria au wanahesabu manually au kuna program ya kompyuta inayohesabu automatically au ni aje yaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa tafsiri ball possession ina maana gani?ITimu imecheza rafu nyingi
Imezidiwa shorts on target
Wamepewa redcard
Halafu eti possessions wanaongoza
Ball possession mi kwa uelewa wangu ni jumla ya idadi ya pasi sahihi timu iliyopiga,kwa hiyo Simba alikuwa na pasi nyingi zaidi lakini pasi nyingi zilikuwa kwenye eneo lao la nyuma hazikuwa na madharaView attachment 1954327
Kuna hii ya azam mtu anafsnya fouls nyingi lkn anapewa possession nyingi. Na ikizingatia kua wote mpira tumeuona na jinsi yanga ilivocheza pira birian! How possible is this?
Umiliki wa mpira, na timu inayomiliki sana mpira ndio huwa inachezewa sana rafu in simple calculation as thatKwa tafsiri ball possession ina maana gani?I
Ball possession unapatkana kwa idadi ya pasi timu ilzopigaUmiliki wa mpira, na timu inayomiliki sana mpira ndio huwa inachezewa sana rafu in simple calculation as that
Ajabu kweli. Yaan hii possession ya simba sijaielewa kabisa. Shida ni nn, inabid azam watuambie.Timu imecheza rafu nyingi
Imezidiwa shorts on target
Wamepewa redcard
Halafu eti possessions wanaongoza
Kama walimiliki mpira fouls zilitoka wapi?Ball possession mi kwa uelewa wangu ni jumla ya idadi ya pasi sahihi timu iliyopiga,kwa hiyo Simba alikuwa na pasi nyingi zaidi lakini pasi nyingi zilikuwa kwenye eneo lao la nyuma hazikuwa na madhara
Ball possession unapatkana kwa idadi ya pasi timu ilzopiga
[/QUOTE/]
Idadi ya pasi nimezisikia hapa kwenye wasafi fm kupitia kwa mzee wa takwimu, tofauti ya pasi ni 5 tu yaani simba kapiga pasi 467 na yanga kapiga pasi 462
[ idadi ya pasi kamili timu A ilizopiga ÷ ( idadi ya pasi kamili timu A ilizopiga + idadi ya pasi kamili timu B ilizopiga ) ] × 100
Faulo ndio pasi mkuu?Kama walimiliki mpira fouls zilitoka wapi?
Hata mimi nimeangalia Simba waliposses mpira zaidi ya Yanga acheni ushabiki kisulisuli. Haimaanishi kwa sbb ilifungwa ndo kuwa haikucheza au kumiliki mpira. Mwanzo nilipokua nasikiliza wadau nikasema simba haijacheza kabisa ila nipoangalia mpira jana marudio ndo nikajua watu wana mihemuko Simba ilicheza mnoo ilipata nafasi nyingi sema hazikuzaa matunda.View attachment 1954327
Kuna hii ya azam mtu anafsnya fouls nyingi lkn anapewa possession nyingi. Na ikizingatia kua wote mpira tumeuona na jinsi yanga ilivocheza pira birian! How possible is this?
Logic yote imelalia hapa, natamani watu waipitie hii post... Duniani Kote Kwa Timu Kubwa Zikifungwa huwa zinapiga Pasi nyingi Unless wawe walizidiwa kwa Kila Kitu kwasababu huwa wapo kwenye Tension ya Kutafuta Goli na Kusawazisha Hivyo Atamiliki Vizuri mpira bila Kupoteza Kizembe na hii Humfanya apige pass nyingi Kuliko Mpinzani wake Mwisho wa Siku Anaongoza Umiliki wa Mpira.
Kama walimiliki mpira fouls zilitoka wapi?
Faulo ndio pasi mkuu?
Kilichotokea ni kwamba simba walikua wanacheza sana mpra asa asa eneo lao kuishia kuvuka mstar kwenda gol la yanga ,shida ya faulo kwanza ilisababishwa na mwamuz ambae alikua anapga filimb karbu kila tukio,pia sababu ya faulo nying zilikua simba wanazicheza baada ya kukosa mpra walikua wanazicheza faulo ktk kuutafuta mpra na kupokonya mpra unakuta muda simba mpra wanao wao ila wakishapokonywa ili kuurudsha kwao ilikua lazima wacheze faulo nazan ilitokan na aina ya kiungo wao wa kat ambae mechi nyng ni kawaida kucheza fauloKama walimiliki mpira fouls zilitoka wapi?