Technology gani inatumika kukokotoa ball possesion?

Technology gani inatumika kukokotoa ball possesion?

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
wanakadiria au wanahesabu manually au kuna program ya kompyuta inayohesabu automatically au ni aje yaani

nu.jpg
 
Kuna makampuni maalam Yana fanya tallying ya passes either kwa manual au na program zipo software zinazo chakata recorded video na kuwauzia watangazaji studio nyingine hua ni maskauti wanamtumia kocha pale half time kwaajili afanye maamuzi..

Nchi ya sweden Kama sikosei uwanja wake wa taifa imefungwa hio system yenye camera pande tatu za uwanja zinarecord na kutuma kwa super computer iliunganishwa hapo na kuchakata stats zote zinahitajika na benchi la ufundi hii ni gharama yake ni Kama kujenga kiwanja ndo maana timu nyingi zinatumia makampuni
 
View attachment 1954327
Kuna hii ya azam mtu anafsnya fouls nyingi lkn anapewa possession nyingi. Na ikizingatia kua wote mpira tumeuona na jinsi yanga ilivocheza pira birian! How possible is this?
Ball possession mi kwa uelewa wangu ni jumla ya idadi ya pasi sahihi timu iliyopiga,kwa hiyo Simba alikuwa na pasi nyingi zaidi lakini pasi nyingi zilikuwa kwenye eneo lao la nyuma hazikuwa na madhara
 
Umiliki wa mpira, na timu inayomiliki sana mpira ndio huwa inachezewa sana rafu in simple calculation as that
Ball possession unapatkana kwa idadi ya pasi timu ilzopiga
 
Ball possession mi kwa uelewa wangu ni jumla ya idadi ya pasi sahihi timu iliyopiga,kwa hiyo Simba alikuwa na pasi nyingi zaidi lakini pasi nyingi zilikuwa kwenye eneo lao la nyuma hazikuwa na madhara
Kama walimiliki mpira fouls zilitoka wapi?
 
[ idadi ya pasi kamili timu A ilizopiga ÷ ( idadi ya pasi kamili timu A ilizopiga + idadi ya pasi kamili timu B ilizopiga ) ] × 100
 
Ball possession unapatkana kwa idadi ya pasi timu ilzopiga
[/QUOTE/]
Idadi ya pasi nimezisikia hapa kwenye wasafi fm kupitia kwa mzee wa takwimu, tofauti ya pasi ni 5 tu yaani simba kapiga pasi 467 na yanga kapiga pasi 462
 
[ idadi ya pasi kamili timu A ilizopiga ÷ ( idadi ya pasi kamili timu A ilizopiga + idadi ya pasi kamili timu B ilizopiga ) ] × 100

Simple Mathematics Watu hawaelewi kwanini? Hata mtu akikaa Anaweza Kuhesababu Unahitaji Watu 2 tuuu wakukupatia Live updates za Uwanjani! Kuanzia Kona Kick, Fouls, Passes, Cards.

Mtu X anahesabu Pasi za Simba

Mtu Y anahesabu Pasi Za Yanga

After 15 minutes Mtu anajumlisha Wanatoa Asilimia Za Umiliki Wa Mpira! Nji zilizoendelea Hutumia Programm Maalumu. Ila Kwa Nature Ya Mpira Wa Bongo Ni Kuwa Huwa Hauna Pasi Nyingi kwasababu Ni Butua Butua So Unahitaji Mtu 1 au 2 wanaoelewa Pasi ni nini Wakahesabu. Although Human Errors Zinaweza Kuwepo. Lakini Itatupa Picha.

Duniani Kote Kwa Timu Kubwa Zikifungwa huwa zinapiga Pasi nyingi Unless wawe walizidiwa kwa Kila Kitu kwasababu huwa wapo kwenye Tension ya Kutafuta Goli na Kusawazisha Hivyo Atamiliki Vizuri mpira bila Kupoteza Kizembe na hii Humfanya apige pass nyingi Kuliko Mpinzani wake Mwisho wa Siku Anaongoza Umiliki wa Mpira.

Derby Tuu kwa bongo ndio huwa inapass nyingi [emoji28]
 
Kuna upendeleo kwenye kutoa takwimu. Ukiangalia mchezo simba walizidiwa kila kitu na walipigiwa mpira wa nguvu hata wao wanakubali. Sasa hii possession ya azam inatoka wapi?
 
View attachment 1954327
Kuna hii ya azam mtu anafsnya fouls nyingi lkn anapewa possession nyingi. Na ikizingatia kua wote mpira tumeuona na jinsi yanga ilivocheza pira birian! How possible is this?
Hata mimi nimeangalia Simba waliposses mpira zaidi ya Yanga acheni ushabiki kisulisuli. Haimaanishi kwa sbb ilifungwa ndo kuwa haikucheza au kumiliki mpira. Mwanzo nilipokua nasikiliza wadau nikasema simba haijacheza kabisa ila nipoangalia mpira jana marudio ndo nikajua watu wana mihemuko Simba ilicheza mnoo ilipata nafasi nyingi sema hazikuzaa matunda.
 
... Duniani Kote Kwa Timu Kubwa Zikifungwa huwa zinapiga Pasi nyingi Unless wawe walizidiwa kwa Kila Kitu kwasababu huwa wapo kwenye Tension ya Kutafuta Goli na Kusawazisha Hivyo Atamiliki Vizuri mpira bila Kupoteza Kizembe na hii Humfanya apige pass nyingi Kuliko Mpinzani wake Mwisho wa Siku Anaongoza Umiliki wa Mpira.
Logic yote imelalia hapa, natamani watu waipitie hii post
 
Kama walimiliki mpira fouls zilitoka wapi?
Kilichotokea ni kwamba simba walikua wanacheza sana mpra asa asa eneo lao kuishia kuvuka mstar kwenda gol la yanga ,shida ya faulo kwanza ilisababishwa na mwamuz ambae alikua anapga filimb karbu kila tukio,pia sababu ya faulo nying zilikua simba wanazicheza baada ya kukosa mpra walikua wanazicheza faulo ktk kuutafuta mpra na kupokonya mpra unakuta muda simba mpra wanao wao ila wakishapokonywa ili kuurudsha kwao ilikua lazima wacheze faulo nazan ilitokan na aina ya kiungo wao wa kat ambae mechi nyng ni kawaida kucheza faulo
 
Back
Top Bottom