Technology: Maana ya cryptocurrency, metaverse na nft

Technology: Maana ya cryptocurrency, metaverse na nft

Mkuu naomba kujua jambo hili
'kuna bwana mmoja aliwahi kueleza kuhusu localbitcoin na ktk maelezo yake alisema kwamba
WAWEZA WEKEZA 327 ELFU THEN UKAWA UNAVUNA KAMA 5 ELFU KW CKU je hii ni kweri? na kama ni kweri nianzie wapi mchakato huu?

Hayo mambo ya kuvuna yako deci na qnet, sio huku kwenye crypto.. huku unapata ukiweza kucheza na timing ya kupanda na kushuka kwa sarafu…
 
Sikukuu zimeisha… coins gani zinaenda kugain momentum tuanze ku hold??
Chukua Shiba Inu mkuu. Bei iko chini zaidi kwa sasa na iko na bright future. Coin $100 unapata za milioni kadhaa.
 
Mkuu naomba kujua jambo hili
'kuna bwana mmoja aliwahi kueleza kuhusu localbitcoin na ktk maelezo yake alisema kwamba
WAWEZA WEKEZA 327 ELFU THEN UKAWA UNAVUNA KAMA 5 ELFU KW CKU je hii ni kweri? na kama ni kweri nianzie wapi mchakato huu?
Soko la cryptocurrency linapanda na kushuka. Ukiona mahali unahakikishiwa kiasi fulani kila baada ya muda fulani ujue ni utapeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha utoto Basi pita kimya ,maana nakuona kwenye thread nyingi unaandika hivi huu ni ujinga ,sio lazima ucomment ,tumia akili sio ilimradi wakuone
Asante kwa taarifa[emoji2]

Mambo yako tumekuachia mwenyewe
 
Chukua Shiba Inu mkuu. Bei iko chini zaidi kwa sasa na iko na bright future. Coin $100 unapata za milioni kadhaa.
Hii shiba naona inapigiwa chapuo kwamba inaweza kutengeneza mamilionea.
 
Back
Top Bottom