Technolojia kwenye faragha

Technolojia kwenye faragha

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Ambitious men and womens, hutake full control and outhority over electronic gadgets, mathalani smartphones, tablets, computers etc.

Focus, commitments and full concentrations ni kwenye activity ilowakutanisha hapo faragha penyewe.

Hii husaidia sana kua na performance ya nguvu na ya uhakika kwa pande zote mbili.

Lakini pia hii huwapa hakikisho la usalama wa faragha hiyo endapo kutatokea mtatofautiano, katika siku za usoni, au moja wenu kuingiwa na taamaa ya fedha na kuuza utu na faragha yenu ili iwekwe hadharani kwa jamii, maarufu kama connection.

Hata hivyo, katika maisha ya ushindani na maendeleo haya ya technologia, kwa usiri mkubwa, hidden cctv camera zaweza kufungwa bila wahusika kujua, kwa nia na malengo eidha ya kuwathiri wahusika kisiasa, kijamii au hata kiuchumi 🐒

Ni muhimu kua na tahadhari, kujidhibiti na kujizuia kupiga, kupigwa au kurekodiwa video za sehemu zako za siri kwa hiyari au kwa malipo, kwani technologia inaishi...

Usikubali kujifedhehesha wewe binafsi, kuwafedhehesha watoto wako, na wazazi wako, wanafamilia wenzako, na jamii kwa ujumla, kwa picha na video za tupu na faragha yako 🐒

be careful, don't intertain that completely...
 
Kwa hali ya sasa tutakuwa tunabeba mabegi yenye mitambo ya kukagua vyumba kama vina kamera, mfanyakazi wa lodge analipwa laki kwa mwezi atakataa laki 5 kuweka kamera ikurekodi ?
 
Kuna kitu hakisemwi katika haya matukio ya kurekodiana faragha. Yote hayo yanatokana na kutokuwa na wenzi wa kueleweka.

Wanaume/wanawake wengi walioanguka katika skendo hizo wengi wamerekodiwa na wapenzi wa muda mfupi (malaya)

Mpenzi wa kueleweka (rasmi) hawezi kukurekodi faragha, hivyo hayo ni matokeo ya kuvuna kilichopandwa.
 
Kwa hali ya sasa tutakuwa tunabeba mabegi yenye mitambo ya kukagua vyumba kama vina kamera, mfanyakazi wa lodge analipwa laki kwa mwezi atakataa laki 5 kuweka kamera ikurekodi ?
Mnarekodiana ili iweje jamani, ukitaka game niambie nikupe sio urekodi uwe unajipigia nyeto huo ni uduwanzi,
 
Back
Top Bottom