Tecno camon 16s yazinduliwa rasmi

Tecno camon 16s yazinduliwa rasmi

Wewe ni mfuatiliaji wa technolojia ya simu?Unaelewa tofauti kati ya simu za Tecno na brand nyingine kama vile Huawei,Samsung,iphone,xiaomi,oppo,Vivo,etc?
kusema kweli sijui, sijui kabisa....teknolojia ya simu ni operating system ipi inatumika kwenye simu hizo, nadhani hapa ndipo pa kuanzia/prime factor....... Android na IOS. Mengine ni nyongeza za brand husika????
 
Tatizo la tekno ni pale inapojiwasha tochi yenyewe iko mfukoni unakuja kushangaa tu paja linaungua kwa mbaaaaaaaaaali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah
 
Si ajabu huu uzi umeandikiwa kwenye iPhone.
 
kusema kweli sijui, sijui kabisa....teknolojia ya simu ni operating system ipi inatumika kwenye simu hizo, nadhani hapa ndipo pa kuanzia/prime factor....... Android na IOS. Mengine ni nyongeza za brand husika????

Baada ya hapo kwenye android tunaangalia chipset sasa. Ndipo shughuli pevu ilipo
 
Kikubwa kabisa ukitaka kujua ni simu ipi bora ndani ya android operating system miongoni mwa mambo ya msingi ya kujifunza/kuangalia ni aina ya processor ambazo simu hizi hutumia,ni processor ipi ni bora,vigezo gani hutumika kujua hii ni processor bora au laa,kuna madhara gani kutumia simu zinazotumia processor za hovyo,kuna faida gani kutumia simu zinazotumia processor bora na mwishowe jifunze ni simu gani ndani ya android operating system zinatumia processor bora na ni simu zipi zinatumia processor za hovyo halafu utakuja kunishukuru baadae!
 
yaani mabalozi wameelezwa kwa kina kuliko simu yenyewe!
kichwa cha habari kingefaa kiwe tecno yazindua balozi mpya,,,
 
hii ni beyond ya camon 15
Hebu kuwa serious hao wanaopiga selfie wameshika simu tofautitofauti au camon ina mjengo wa camera ulio tofauti?
Screenshot_20201118-121610.png
Screenshot_20201118-121531.png
 
Baada ya hapo kwenye android tunaangalia chipset sasa. Ndipo shughuli pevu ilipo
Behaviourist kuna kitu kingine tena hapa, njoo... nadhani sasa hizi processors na chipset (sijui ni nini) brand wanatengeneza wenyewe au zinakuwa supplied na operating system company?
 
Techno bhn simu zenu performance mbovu na bado mnaongeza matangazo nyie pesa yangu mliokula imetosha siwezi tena nunua kwa pesa yangu
 
Back
Top Bottom