Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nakazia... Kama katika hivyo kuna ambacho kamzidi samsung anayoishindanisha hapo anioneshe duka la tecno nitupe hii simu yangu nikadake hiyo simu fasterNipe comparison ya vifuatavyo ukimzidi Samsung natafuta duka la Tecno sasaiv
1. Display Type
2. ppi density
3. Chipset
4. GPU
5. WLAN version
6. Bluetooth version
7. AnTuTu performance test numbers:
9. GeekBench performance test numbers: