TECNO Tanzania Senior Member Joined Jul 6, 2016 Posts 192 Reaction score 217 Nov 11, 2016 #1 Karibu kwenye Tecno Live na Salama Jabir. Kuwa huru kuuliza maswali yako kwenye comment. https://www.facebook.com/video.php?v=1215445291832613
Karibu kwenye Tecno Live na Salama Jabir. Kuwa huru kuuliza maswali yako kwenye comment. https://www.facebook.com/video.php?v=1215445291832613
TECNO Tanzania Senior Member Joined Jul 6, 2016 Posts 192 Reaction score 217 Nov 11, 2016 Thread starter #2 Karibu kwenye mahojiano Live kati ya Tecno na Salama Jabir.
TECNO Tanzania Senior Member Joined Jul 6, 2016 Posts 192 Reaction score 217 Nov 11, 2016 Thread starter #3 Salama anasema alishawahi kuiba pesa wakati yupo mdogo ili aende Italia...miaka hiyooo lakini.
Leak JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,916 Reaction score 43,505 Nov 11, 2016 #4 Kwanini baadhi ya simu zenu zinasumbua sana charge?
tax compliant JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 1,211 Reaction score 1,196 Nov 11, 2016 #5 Je ni kweli salama ni lesbian??
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 Nov 11, 2016 #6 Baada ya phantom six plus, tutegemee toleo lipi na bora zaidi ya hiyo hivi karibuni?
Iyegu JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 6,276 Reaction score 12,404 Nov 11, 2016 #7 Kwanini Salama unapenda kuvaa kama mwanaume?
B bagi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 1,747 Reaction score 1,766 Nov 11, 2016 #8 Lini Mara ya mwisho Salama kufanya mapenzi
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 27,031 Reaction score 49,928 Nov 11, 2016 #9 salama una bikra?
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 8,257 Reaction score 11,499 Nov 12, 2016 #10 Kwanini simu zenu hazina maisha marefu sana km Nokia kwa mfano unatumia mpk unaichoka simu. Lakini nyie simu inakuchoka mnunuzi jamani.
Kwanini simu zenu hazina maisha marefu sana km Nokia kwa mfano unatumia mpk unaichoka simu. Lakini nyie simu inakuchoka mnunuzi jamani.
Blank page JF-Expert Member Joined May 28, 2015 Posts 5,487 Reaction score 4,817 Nov 12, 2016 #11 Nasubir majibu y maswal hapo juu.mbna hawajibu tecno kuptia s.jabir?