TECNO LIVE SHOW WITH SALAMA

TECNO LIVE SHOW WITH SALAMA

Salama anasema alishawahi kuiba pesa wakati yupo mdogo ili aende Italia...miaka hiyooo lakini.
 
Kwanini baadhi ya simu zenu zinasumbua sana charge?
 
Kwanini simu zenu hazina maisha marefu sana km Nokia kwa mfano unatumia mpk unaichoka simu. Lakini nyie simu inakuchoka mnunuzi jamani.
 
Nasubir majibu y maswal hapo juu.mbna hawajibu tecno kuptia s.jabir?
 
Back
Top Bottom