Shida ya Tecno, hiyo picha baada ya mwezi huyo raba inabadilika na kua high hills πTecno skuizi kama hawapo vile Ila wana vitu harari Kimya Kimya, mda mrefu Redmi zimekuwa zikisifiwa sna Ila huyu mwamba hasikiki
Wametoa Toleo Lao jipya camon 30 naona wamebadilika SANA
Camera NZURI
Battery NZURI
View attachment 3008331
Wametoa camon 30 ni motooMimi natumia tecno camon 12 Toleo la 2019 hii simu naikubali sana Bora kampun zote zipigwe ban na simu zote zifungiwe Ila chuma cammon 12 ibaki.
Hata dunia nzima ikiwa against tecno camon12 Ila mimi bado Niko nayo