Tecno mnazichukulia poa sana ila ni Silent Killer

SISIS

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Posts
10,892
Reaction score
3,112
Tecno skuizi kama hawapo vile Ila wana vitu harari Kimya Kimya, mda mrefu Redmi zimekuwa zikisifiwa sna Ila huyu mwamba hasikiki

Wametoa Toleo Lao jipya camon 30 naona wamebadilika SANA

Camera NZURI

Battery NZURI

1717507176708.jpg
 
View attachment 3008331
Shida ya Tecno, hiyo picha baada ya mwezi huyo raba inabadilika na kua high hills 😂
 
Back
Top Bottom