Hamisisadiki
New Member
- Mar 16, 2019
- 1
- 0
Sio kweli na wala hiyo simu haijadukuliwa hiyo ni ishara kama umefungua camera ni kuwa camera ipo in use, the same kama umepiga simu, kupokea simu au kurecodi sauti pia itawaka kuonesha mic ipo in useHapana! Hiyo ni location services.
Kwani unafanya kazi FBI kaka mkubwa.....acha uoga kakaSio kweli na wala hiyo simu haijadukuliwa hiyo ni ishara kama umefungua camera ni kuwa camera ipo in use, the same kama umepiga simu, kupokea simu au kurecodi sauti pia itawaka kuonesha mic ipo in use
Ni dalili mbaya mfano ukiclose app zote kwenye background na bado ikaendelea kuwaka hapo kuna hali si shwari mfano mimi nilikuwa na block microphone na camera everytime situmii hivyo simu ikiita naruhusu ikikata nazima
Hapana ili pia nimegundua browser kama chrome, edge na opera hutuchunguza kupitia webcam sasa unajikuta unakula selfie huku upo x.com then kesho unakuta picha zako huko x.com hujui nani katumaKwani unafanya kazi FBI kaka mkubwa.....acha uoga kaka
yah! ni kweli kuna tittle ukiwa nayo kwenye jamii husika then ukahusishwa na maswala kama hayo aiseh inakula tittle yako yote ni vema kuchukua usalma kila panapobidiHapana ili pia nimegundua browser kama chrome, edge na opera hutuchunguza kupitia webcam sasa unajikuta unakula selfie huku upo x.com then kesho unakuta picha zako huko x.com hujui nani katuma