Tecno Spark 20 imedukuliwa?

Tecno Spark 20 imedukuliwa?

Hamisisadiki

New Member
Joined
Mar 16, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Techno spark 20 ime dukuliwa?

Kila nikipiga simu au kupokea inaonyesha kidoti Cha kijani mbele ya betri halafu Ina rekodi.

pia Niki fungua kamera inaonyesha kidoti Cha kijani mbele ya betri halafu Ina rekodi hii imekaaje wa talaamu mtusaidie
 
Hapana! Hiyo ni location services.
Sio kweli na wala hiyo simu haijadukuliwa hiyo ni ishara kama umefungua camera ni kuwa camera ipo in use, the same kama umepiga simu, kupokea simu au kurecodi sauti pia itawaka kuonesha mic ipo in use

Ni dalili mbaya mfano ukiclose app zote kwenye background na bado ikaendelea kuwaka hapo kuna hali si shwari mfano mimi nilikuwa na block microphone na camera everytime situmii hivyo simu ikiita naruhusu ikikata nazima
 
Kwani unafanya kazi FBI kaka mkubwa.....acha uoga kaka
 
Hapana ili pia nimegundua browser kama chrome, edge na opera hutuchunguza kupitia webcam sasa unajikuta unakula selfie huku upo x.com then kesho unakuta picha zako huko x.com hujui nani katuma
 
yah! ni kweli kuna tittle ukiwa nayo kwenye jamii husika then ukahusishwa na maswala kama hayo aiseh inakula tittle yako yote ni vema kuchukua usalma kila panapobidi
 
Udukuliwe wewe Kwa lipi? Wanadukuliwa wapanda vx ambao hawatumii tecno
 
Back
Top Bottom