Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Chapa ya kimataifa ya Simu Kali za kijanja TECNO wameingia ushirikiano na kampuni ya DXOMARK kuweza kutambulisha Teknolojia mpya kwa kuzindua maabara ya kwanza ya kupiga picha Kali za Automatiki kupitia Simu janja (smartphone).
Uzinduzi huo umefanyika nchini china kupitia Jiji la Chongqing , maabara hiyo mpya imejengwa Kwa kuzindua hutoaji wa Simu Kali zenye uwezo wa kupiga picha Kali kutoka DXOMARK kwa vizazi vijacho.
Hii ni hatua nzuri katika kuendeleza kutoa Simu Kali za kijanja toka TECNO zenye kutoa matoleo mazuri ya picha Kwa wale wapenzi wa picha kupitia matoleo mapya ya Simu.
Kwa ufupi tu maabara hiyo imeundwa kwa mifumo ya Hali ya juu ya roboti inayoruhusu majaribio bila kuhusisha wanadamu.
Kila hatua inayochukua kwenye kupiga picha Ina controliwa na Roboti ili kuweza kuondoa makosa Mbalimbali yanayosababishwa na upimaji wakati wa kupiga picha.