MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,184
- 5,435
Huwezi kujua ubovu na uzuri wa tecno bila kufanya comparison sasa alichosahau as ndo tunamletea kumuongezea. Tecno ndiyo simu za watu wanaoanza kujifunza kumiliki touch hata mimi nilianzia huko.uzi mumeuelewa lakini,au munaubaka tu.hapa ni tecno tu,kama ulitumia tecno ikakuzingua ukaihama pita kushoto,kama una iphone,samsung ,na brand zingine usiguse humu utalogwa bure,hapa wanahitajika wale ambao sasa ivi wanaongea na simu ila torch inawaka na hauna taarifa nayo hadi ushituliwe na unakuta imechemka balaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]