TECNO Tanzania
Senior Member
- Jul 6, 2016
- 192
- 217
Kuelekea kusherehekea siku ya wapendanao Februari 14, kampuni ya simu za mkononi TECNO, imeandaa mambo makubwa ambayo yatatimiza ndoto za wateja wake wengi watakaonunua simu za TECNO SPARK4, CAMON 12 na CAMON12 AIR, sio tu wateja hata wafuasi wake wa kurasa za TECNO mtandaoni watapata nafasi. Hapa kuna baadhi tu ya mambo yatakayofanywa na TECNO msimu huu wa Valentine.
Kubwa kuliko ni kwamba imeandaliwa zawadi ya Chopper riding, zawadi hii ni maalum kwaajili ya wateja watakaonunua simu tajwa pamoja na fans wa kurasa za TECNO mtandaoni, hapa wateja hao watapewa nafasi ya kuruka na Helikopta ili kutazama mwonekano wa Jiji zima la Dar es Salaam bure kwa masaa kadhaa wakiwa angani.
Vilevile TECNO itawakutanisha watu wawiliwawili wa jinsia tofauti bila wao kufahamiana hii inajulikana kama Blind date na watapambwa kwa mavazi na mwonekano kwa gharama za TECNO ambapo wanawake watarembwa na saluni ya viwango vya juu sana na wanaume watavalishwa mavazi na duka lenye hadhi kisha kupelekwa kwenye hoteli moja maarufu yenye hadhi ya juu sana jijini Dar es Salaam kwaajili ya chakula cha jioni ama dinner. Kujua zaidi tembelea Maduka ya TECNO au kurasa zao za Facebook, Twitter tecnomobiletanzania au follow Instagram; TECNO Tanzania (@tecnomobiletanzania) • Instagram photos and videos
Pamoja na hayo yote, TECNO pia imeandaa zawadi kemkem kwa wateja watakaonunua simu yoyote ya TECNO.
Ikumbukwe kwamba Valentine ya mwaka 2019 TECNO iliwapeleka wateja na fans wake Visiwani Zanzibar kwaajili ya mapumziko na kutembelea maeneo maalum ya kitalii.