TECNOkutimiza ndoto yako Valentine day 2020

TECNOkutimiza ndoto yako Valentine day 2020

Nyie tecno hivi mlishashibdwa kabisa kutengeneza simu inayotumia laini moja tu?
Habari Nguvu, Ndiyo hatuna Smartphone yenye sehemu moja tu ya kuweka laini, simu zetu ni 'dual sim cards.' Hata hivyo hii haimzuii mtumiaji kutumia laini moja na haina athari yoyote kwa anayetumia laini moja. Karibu sana!
 
nauliza simu ya tecno R 7 ina "built in battery" au...na ni kwanini hazipatikani kwenye maduka yenu isipokua Tigo shop tu
Habari Masare, TECNO R7, ni 'Removable battery' na ipo kwenye Tigo shops tu kwasababu ni washirika wetu na tulikubaliana nao hivyo ili wateja wetu waweze pia kupata ofa za huduma kutoka Tigo. Karibu sana!
 
Mtatulipia lodge?
Hapana, Naby Keita, kama ni mwanaume utavalishwa nguo na duka la nguo lenye hadhi, na kama mwanamke utarembwa ama kufanyiwa 'makeup' na saluni yenye hadhi vyote bure, kisha mtapelekwa kwa gari mpaka hoteli yenye hadhi sana kwaajili ya Dinner. Ratiba itaishia kwenye Dinner kisha kila mmoja atarejeshwa kwake. Tembelea kurasa zetu kufahamu zaidi.
 
Wekeni CASH Aseee, hiyo kuruka na chopa itanisaidia nini baada ya kutua aridhini?
 
Back
Top Bottom