Damian J Ntundagi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2017
- 1,652
- 2,355
Karibu sana Ethical Ninja, kama unahitaji kufahamu zaidi kuhusu Blind Date, tafadhali tembelea kurasa zetu za mitandao ya kijamii.Dah! Hiyo blind dateπ΅π΅π΅
Habari Nguvu, Ndiyo hatuna Smartphone yenye sehemu moja tu ya kuweka laini, simu zetu ni 'dual sim cards.' Hata hivyo hii haimzuii mtumiaji kutumia laini moja na haina athari yoyote kwa anayetumia laini moja. Karibu sana!Nyie tecno hivi mlishashibdwa kabisa kutengeneza simu inayotumia laini moja tu?
Habari Masare, TECNO R7, ni 'Removable battery' na ipo kwenye Tigo shops tu kwasababu ni washirika wetu na tulikubaliana nao hivyo ili wateja wetu waweze pia kupata ofa za huduma kutoka Tigo. Karibu sana!nauliza simu ya tecno R 7 ina "built in battery" au...na ni kwanini hazipatikani kwenye maduka yenu isipokua Tigo shop tu
Asante Numbisa, kwa ushuhuda wako.Sema unachangamsha genge tu. Tecno hazipo hivyo
Habari Idimulwa, simu zetu kwa sasa zimeboreshwa sana! ni nyembamba na nyepesi zaidi. Tafadhali tembelea duka lolote la TECNO ili kujionea. Karibu sana.
Hapana, Naby Keita, kama ni mwanaume utavalishwa nguo na duka la nguo lenye hadhi, na kama mwanamke utarembwa ama kufanyiwa 'makeup' na saluni yenye hadhi vyote bure, kisha mtapelekwa kwa gari mpaka hoteli yenye hadhi sana kwaajili ya Dinner. Ratiba itaishia kwenye Dinner kisha kila mmoja atarejeshwa kwake. Tembelea kurasa zetu kufahamu zaidi.Mtatulipia lodge?
Usema kweli nahamu sana hii bahati iniangukie mie aisee...πππKaribu sana Ethical Ninja, kama unahitaji kufahamu zaidi kuhusu Blind Date, tafadhali tembelea kurasa zetu za mitandao ya kijamii.
Na sisi tulio mikoaninauliza simu ya tecno R 7 ina "built in battery" au...na ni kwanini hazipatikani kwenye maduka yenu isipokua Tigo shop tu