Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,962
- 721
Tumekuwa tukisoma taarifa mbalimbali kuhusu rushwa inavyofanya kazi nchini mwetu. Viongozi wamekuwa wakidanganya kuhusu mali walizonazo. Wamekuwa wakitoa taarifa za uongo katika forms (Kutoka tume ya Maadili) za ku-declare mali walizonazo. Na serikali kwa njia moja au nyingine wamekuwa wakificha huu ufisadi kwa muda mrefu.
Habari zilizojiri hivi sasa Yule Powerful seneta kutoka Alaska Ted Steven amekutwa guilty kwa makosa 7. Mojawapo ni kuficha zawadi pamoja na mali alizoandika kwenye Financial Senate Disclosure forms. Na sasa anasubiri kuhukumiwa, kila kosa ni sawa na miaka 5 lakini haijulikani kama jaji atamhukumu miaka 35.
Serikali yetu inatakiwa kuiga mifano mizuri toka nchi nyingine. Wiki iliyopita Mh. Membe alidai kuwa Tanzania inaweza kujiunga na OIC bila matatizo yoyote nchini na akatoa mfano wa nchi ya Uganda. Ni vipi viongozi wetu wanaweza kujifunza juu ya justice kwa wale wanaovunja katiba, Trust na makosa mengine. Tuna Ted Steven(s) wengi sana kwenye serikali ya JK na hata serikali iliyopita.
Huu ni wakati maalumu kwa JK kuamka na kuanza ku-deal na matatizo yanayowakabili watanzania very seriously.