Teddy Kalonga huwa namfananisha na Halle Berry

Teddy Kalonga huwa namfananisha na Halle Berry

nilikua namkubari sana kipindi kile yuko chanell 5
 
E bwana utopolo anaoweka kichwani unamfanya awe ovyo zaidi. Kuridhika na maisha haihusiani na yeye kuvaa visivyompendeza tena hata kidogo. First alieka meno yake akawa anaonekana ana kama ana meno 60 mdomoni, kabadilisha akarudi kuwa msupu, sasa doooh! Blonde or colored hair sio za kila mtu. To me, she looks absolutely ugly kwa anavyojiweka currently. Na kupretend kusahau kiswahili ..dah! Sipendi watu waigizaji wa namna hii aisee! Anyway…. Maisha yake.

Umenifanya nikapitie page yake insta sababu sikumfatilia muda
She looks unhappy though sijui kwanini namuona hana furaha
Seems things are tough
 
Umenifanya nikapitie page yake insta sababu sikumfatilia muda
She looks unhappy though sijui kwanini namuona hana furaha
Seems things are tough

Kweli kabisa , or hata kama yuko happy jamani anayemshauri muonekano wake wa sasa hivi kuwa unampendeza basi tena. Kuna picha zingine kafuta ungechoka zaidi kumwona. Mara michoro yake ile anayochora ya majini na mapepo[emoji854] huwa siielewi.
 
2002, Dilemma ilikuwa inachezwa Channel 5 almost after every one hour!

Yes Daah enzi hizo nikiiangalia Dilemma kwa TV huku nelly akiwa na Mchuchu Kelly Aiseeee ilikuwa inanipa Machungu ya kutafuta Chapaa balaa!! Au Enzi hizo 2002 Nikiangalia Mobb Deep ft 112 - Hey Luv nayo ilikuwa inanipa Mizuka ya Kutafuta fedha!! M.A.P Prodigy
 
Back
Top Bottom