Teddy Kalonga huwa namfananisha na Halle Berry

nilikua namkubari sana kipindi kile yuko chanell 5
 

Umenifanya nikapitie page yake insta sababu sikumfatilia muda
She looks unhappy though sijui kwanini namuona hana furaha
Seems things are tough
 
Umenifanya nikapitie page yake insta sababu sikumfatilia muda
She looks unhappy though sijui kwanini namuona hana furaha
Seems things are tough

Kweli kabisa , or hata kama yuko happy jamani anayemshauri muonekano wake wa sasa hivi kuwa unampendeza basi tena. Kuna picha zingine kafuta ungechoka zaidi kumwona. Mara michoro yake ile anayochora ya majini na mapepo[emoji854] huwa siielewi.
 
2002, Dilemma ilikuwa inachezwa Channel 5 almost after every one hour!

Yes Daah enzi hizo nikiiangalia Dilemma kwa TV huku nelly akiwa na Mchuchu Kelly Aiseeee ilikuwa inanipa Machungu ya kutafuta Chapaa balaa!! Au Enzi hizo 2002 Nikiangalia Mobb Deep ft 112 - Hey Luv nayo ilikuwa inanipa Mizuka ya Kutafuta fedha!! M.A.P Prodigy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…