TANZIA Teddy Mapunda Afariki Dunia hospitali ya Aga Khan Dar

TANZIA Teddy Mapunda Afariki Dunia hospitali ya Aga Khan Dar

Imebakia story ndio ashaenda huyo.
Mungu afanye njia kwa familia awape faraja.
Mume wa marehem pia amesema yeye na mke wake walishirika kampeni mwaka Jana.
Teddy alitembea na JPM na Mapunda alikua kwa mama Samia.

Poleni sana ccm,poleni sana family ya Mapunda
 
Back
Top Bottom