Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Huyo huyo (RIP na yeye! )Kwa magadula enzi hiyo
Nalima mchicha na Bamia Njoo uniungishe....garage yako ipo wapi mkuu tuje tukuungishe
Ok mimi nlisoma enzi ya msiangi mwisho wa 90Huyo huyo (RIP na yeye! )
retired we mhengaUliposema 1987, nikaona you must have enough experience to embark on that! At that time I had my first degree -UDSM two yrs before!
Nenda kamwambie hivyo Brigedia General Managing Director wa Nyumbu Project maneno hayo....Nyumbu ni Nyumbu tu (nukta)
Yes, nashukuru nimefika hapa! Inaelekea unaogopa uhenga, basi omba usifike huko!retired we mhenga
Usiwalaumu hawa wazee laumu serikali yako ya CCM na mfumo wa nchimlikula tu miamala ya serikali output ziro
Hahaha ahaha, aisee. Kazi kweli kweli.Nyumbu ni Nyumbu tu (nukta)
Heshima yako kaka mkubwa by then mie ndio nilikuwa huko kwetu nachunga ndama na mbuzUliposema 1987, nikaona you must have enough experience to embark on that! At that time I had my first degree -UDSM two yrs before!
Mfumo mbovu wa viongozi wa CCM hauwezi kufanya chochote.Wazee wa manunuz wa magari ya wenzao TATA, IVECO, MAN, Leyland wao hata toothpick wameshindwa. Wenzao Vietnam wametuletea mpaka kampuni ya Simu Halotel hapa tumebaki kumwagilia maua bustanini
Basi vema. Katika hali ya waafrika mwaka huo ulikuwa around 20 yrs or so of age!We ni kaka yangu! Hiyo '87 nipo form four pale Lake Seco MZA kwa De'Souza na Maga!
Ndugu tupo wengi tu humu!Ok mimi nlisoma enzi ya msiangi mwisho wa 90
Ndio tunapishana hivyo hatuwezi kuzaliwa siku moja.Heshima yako kaka mkubwa by then mie ndio nilikuwa huko kwetu nachunga ndama na mbuz
Hata kufungua workshop ya kurepair bodaboda umeshindwa mkuu? Eng mzima unalima bamia?Nalima mchicha na Bamia Njoo uniungishe....
AhahaaaNyumbu ni Nyumbu tu (nukta)
Am I obliged to declare what am essentially doing?. Kwa kejeli zako bora nikuambie nalima Bamia. Gereji ndio Project pekee kwa Engineer eeeh!!Hata kufungua workshop ya kurepair bodaboda umeshindwa mkuu? Eng mzima unalima bamia?