TANZIA Teddy Mwanambilimbi hatunaye tena

TANZIA Teddy Mwanambilimbi hatunaye tena

Status
Not open for further replies.
Mkuu kwema, bila shaka uli-recover vyema kutoka katika yale maswaibu ya ajali wakti ule
Kaka yetu...Rafiki yetu...Mshauri wetu.Hatuna mengi ya kusema bali kukuombea nafsi yako huko ilipo nasi sote duniani ni mapito.Upumzike kwa amani
Pole nyingi kwa wanafamilia wa Mzee Mwanambilimbi.wadogo zako na wanao pia shemeji yetu
 
5e3ec7bbbf8a37461f8bf1f05d3365b7.jpg

R.I.P
Muda wote najua ni Dada kumbe ni kaka, dah R.I.P lakini, jamaa wa jahazi ndo walinizindua
 
WaTz huwa wanasifika kwa uongo inapofika suala la wasifu wa marehemu hasa katika tuvipengele tudogo twa marital status na cause of death.
 
Wangejua kuwa katika product research and development , kutoa product ikawa marketable inaweza kuchukua even 20 or more yrs! Kwenye pharmaceutical product development it can take even 50 yrs, kwamba hii sasa dawa itumike kwa binadamu!
Ni kweli mkuu, dawa nyingi za HIV ziko kwenye hiyo phase.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Tulijaribu kuunda nikiwa Engineer Nyumbu....siasa ikaingilia....
Du! Siasa hizi! Niliwahi kusikia (kwenye hotuba ya Mwl. nafikiri) kuwa jamaa mmoja (Ford?) aliwaambia mafundi/wahandisi watengeneze gari. Ripoti ya kwanza wakamwambia kuwa gari wametengeneza lakini linarudi nyuma badala ya kwenda mbele! Jamaa akasema 'sasa nataka mkalifanye liende mbele' jamaa jitahidi mpaka walikanikiwa. Kweli hao tunaowaita wenzetu hawana siasa kwa mambo ya msingi.Kwa kweli tukiacha siasa Nyumbu itakuwa mbali.Lakini bado hatujachelewa.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb

Another worse scenerio hata watanzania wenyewe tunadharauliana sana na kuto thamini wasomi wetu kwamba hawawezi kufanya lolote la maana. Then wanaishia kukata tamaa. Again Wanasiasa wengi wanapenda matokeo katika kipindi kifupi cha uongozi tena within five yrs!!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Research ya Gari. Pia umaskini wetu kama Nchi unachangia sana kwa serikali kuinject Fund kwa kitu ambacho kitaleta matokeo after 30yrs down the lane. Myopic....
 
Hapo ndipo serekali inapokosea haiweki fund kwenye long term research project hiyo kazi imeachwa kwa wageni
 
Ila Teddy si jina la kike???? Kifupi cha Theresia??

Mkuu hayo majina ya wenzetu wanavifupisho vyake. Hivyo kwa vile si ya asili yetu hatujui hata vifupisho vinaasili gani. Mfano wewe unajua kuwa Theresia kifupi chake ni Teddy. Wenyewe wazungu wanashangaa kusikia et Theresia ni Teddy. Theresia waho hufupisha "Terry" na Edward ndiyo "Teddy" (kama Edward Kennedy aliijulikana kama Teddy). Hata Thadeo ay Thadeus wanafupisha "Teddy". Na majina mengi mfano Angela sisi tunafupisha "Angel" ambapo wazungu wanafupisha "Angie" wakiamini binadamu hawezi kuwa malaika, pia Elizabeth sisi tunafupisha "Betty" wao husema "Liz".
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom