Teegarden B: Sayari yenye uwezekano mkubwa wa maisha ya Aliens

Teegarden B: Sayari yenye uwezekano mkubwa wa maisha ya Aliens

plan z

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
1,394
Reaction score
1,434
Universe yetu ina takribani miaka 93 Billion Light years. Ninaposema 93 Billion Light years ninamaanisha kwamba ili uvuke Universe yetu ni lazima kwanza usafiri kwa speed of light yaani Kilometre 300,000 kwa sekunde moja au Metre 300,000,000 kwa sekunde ( hiyo ndo speed of light). Sasa kwa kutumia speed hiyo usafiri kwa miaka billion 93 ndo utavuka Universe yetu.

Hebu kwanza tuwekane wazi Universe ni kitu gani. Tuangalie Jua (The Sun) hiyo ni nyota. Sasa nyota hii ya jua inazungukwa na sayari nane ukiacha pluto inayopotea na kutokea tena na kisha kupotea tena.

Nyota ya hivyo inayozungukwa inaform a single solar system. Mbali na nyota yetu hii zipo nyota zingine nyingi, sio zote zinazungukwa na planets. Kuna nyota zingine zinazungukwa na planets zinaform another solar system.

Sasa basi mkusanyiko wa nyota zote hizo na sayari zote hizo na kila kitu. Zinaform kitu kinachoitwa Gallaxy. Mbali na Gallaxy moja kuna gallaxy zingine nyingi, mkusanyiko huo unaitwa Cluster.

Mkusanyiko wa Cluster nao unaform kitu kinaitwa Super Cluster. Mkusanyiko tena wa Super Cluster ndio unatengeneza Universe, sasa upeo wetu unaishia hapo kwenye Universe hakuna aliyewahi kuvuka Universe kisha akatuletea mrejesho nje kuna nini, sote tupo ndani ya Universe au naweza nikasema anga.

Nikudokeze tu siri mojawapo ambayo sipendi kuisema ni kwamba usilolifahamu, mbingu ya kwanza na mbingu ya pili ipo humu humu ndani ya universe, isipokuwa mbingu ya tatu alipo Mungu muumba wa mbingu na nchi, yenyewe ipo outside of our Universe.

Basi kumekuwa na tetesi kwamba eti kuna viumbe wanaitwa Aliens na wana IQ kubwa kuliko wanadamu yaani above 400 IQ. Lakini leo sitaki kuzungumzia Aliens wanatokana na nini, kuna siri hapo sitawaambia leo, japo najua Aliens wapo hapa hapa nyuma kidogo ya dunia hii na sio mbali. Ila nataka tu nikuambie jinsi wanasayansi wanavyoangaika kutafuta Aliens wanapoishi.

Kwa kweli wanasayansi wamehangaika mda mrefu sana kuchunguza huko na huko kuwatafuta Aliens na wametuletea sayari nyingi, leo tuichambue moja tu.

Katika tafiti za wanasayansi wamekuja na majibu kwamba. Kuna approximately 2 trillion gallaxies in our universe. Pia kuna approximately 100 billion stars na kila nyota ina average ya atleast 4 planets.

Katika tafiti zao waliiona nyota moja inayoitwa Teegarden star. Kisha katika kuichunguza nyota hiyo wakaona sayari wakaiita Teegarden B. Nyota hiyo ina joto mara 12 zaidi ya The Sun. Na sayari ya Teegarden B ina nyuzi joto 28°C na radius yake ni similar na The Earth.

Sayari ya Teegarden B ina maji ya bahari kama ilivyo dunia yetu. Basi katika kuangaika kwa wanasayansi huko wakahisi kwamba huenda sayari hii ndiko wanapoishi hao viumbe wanaoitwa Aliens.

View attachment:



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mungu anaabudiwa na wanazuoni flani anakaa anga la saba. Ila Mungu muumba mbingu na nchi anakaa mbingu ya tatu. Anga la kwanza hadi la saba lipo ndani ya universe, ukivuka utakutana na mbingu ya kwanza na ya pili ndani ya universe. Mbingu ya tatu sasa ndo outside of universe. Hapo kidogo utakuwa umeelewa.
Mbona huwa naskia MUNGU anakaa mbingu ya saba, ww unasema MUNGU anakaa mbingu ya 3 how....
Fafanua

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good.
Mwenye swali lolote kuhusu forces of the universes anaweza uliza. Nitajitahidi kujib kadr ya nitakavyoweza.

Napendaga sana Science of the universe.

Japo wanasema ni moja ya very complicated science.

Note: Forces....
Masuala ya Mungu/miungu, aliens, Other more bodies n.k vya namna hio SIJUI CHOCHOTE..
 
Good.
Mwenye swali lolote kuhusu forces of the universes anaweza uliza. Nitajitahidi kujib kadr ya nitakavyo weza.

Napendaga sana Science of the universe.

Japo wanasema ni moja ya very complicated science.

Note : Forces....
Masuala ya Mungu/miungu, aliens, Other more bodies n.k vya namna hio SIJUI CHOCHOTE..
Pamoja mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BLACK HOLE.

Ni sehemu katika space ambayo ina high gravity. It pulls everything inside even light can be pulled by a Black hole due to high gravity. Hii inatokea pale nyota inapokufa.

Black hole haionekani ila telescope za NASA ziliripoti kwamba nyota zilizo karibu na Black hole zina tabia tofauti na nyota zingine.

IMG_20200325_200142_665.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BLACK HOLE.

Ni sehemu katika space ambayo ina high gravity. It pulls everything inside even light can be pulled by a Black hole due to high gravity. Hii inatokea pale nyota inapokufa.

Black hole haionekani ila telescope za NASA ziliripoti kwamba nyota zilizo karibu na Black hole zina tabia tofauti na nyota zingine.View attachment 1399293

Sent using Jamii Forums mobile app
"Even light can be pulled by a Black hole"

What de hell..!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom