Teegarden B: Sayari yenye uwezekano mkubwa wa maisha ya Aliens

Teegarden B: Sayari yenye uwezekano mkubwa wa maisha ya Aliens

Marilyn Savant yeye ndiye aliyewahi kurekodiwa na Guinness Book of Records KWAMBA IQ yake ikifikia 226 na Allien yao ni 400 hili lazima ni balaa jamaa angu.

Huku unaambiwa average ya nchi nyingi za Africa ni 73 I can imagine kwanini mtu mmoja alikua na gobole akateka Kijiji kizima hah!

Sent using Jamii Forums mobile app
wanatusingizia waafrika, 73? hapana

Afrika kuna watu wana IQ kubwa ila wamebaniwa hawajawekwa kwenye historia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimeishia hapo uliposema mbingu ya tatu ndipo alipo mungu, ila ulinivutia sana mwanzoni

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
 
Huwa najiuliza katika tafiti Assumption ni kwamba viumbe hai lazima wawe na oxygen na maji na hali ya hewa kama ss. Well, ukute kuna gas au aina flani ya material inayosapoti maisha kwa viumbe aina flani ambavyo havitegemei maji na oxygen.
 
Nimeanza kusoma vizuri tu.. ulipofika sehemu ya mbingu mbili sijui zipo kwenye hii universe..nikaona hili andiko ni shit kama shit nyingine tu🚮🚮
 
Kuna mungu anaabudiwa na wanazuoni flani anakaa anga la saba. Ila Mungu muumba mbingu na nchi anakaa mbingu ya tatu. Anga la kwanza hadi la saba lipo ndani ya universe, ukivuka utakutana na mbingu ya kwanza na ya pili ndani ya universe. Mbingu ya tatu sasa ndo outside of universe. Hapo kidogo utakuwa umeelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
How told God stay in 3th sky

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SUBSCRIBE, SHERE, LIKE AND COMMENT KWA KUJIPATIA MUENDELEZO WA MASHAIR YATAKAYO KUWA YANATUMWA SIKU ZOTE KWENYE CHANNEL HIII.

Shairi hili linaitwa Kisiki -Shamba Kuzilima Nyingi
By Khamisi Mbaraka -
kutoka Zanzibar Cheju
 
Back
Top Bottom