Teegarden B: Sayari yenye uwezekano mkubwa wa maisha ya Aliens

wanatusingizia waafrika, 73? hapana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afrika kuna watu wana IQ kubwa ila wamebaniwa hawajawekwa kwenye historia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimeishia hapo uliposema mbingu ya tatu ndipo alipo mungu, ila ulinivutia sana mwanzoni

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
 
Huwa najiuliza katika tafiti Assumption ni kwamba viumbe hai lazima wawe na oxygen na maji na hali ya hewa kama ss. Well, ukute kuna gas au aina flani ya material inayosapoti maisha kwa viumbe aina flani ambavyo havitegemei maji na oxygen.
 
Nimeanza kusoma vizuri tu.. ulipofika sehemu ya mbingu mbili sijui zipo kwenye hii universe..nikaona hili andiko ni shit kama shit nyingine tu🚮🚮
 
How told God stay in 3th sky

Sent using Jamii Forums mobile app
 

SUBSCRIBE, SHERE, LIKE AND COMMENT KWA KUJIPATIA MUENDELEZO WA MASHAIR YATAKAYO KUWA YANATUMWA SIKU ZOTE KWENYE CHANNEL HIII.


Shairi hili linaitwa Kisiki -Shamba Kuzilima Nyingi
By Khamisi Mbaraka -
kutoka Zanzibar Cheju
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…