Sci-Fi
Member
- Jan 30, 2016
- 71
- 272
Hongereni sana watanzania wote mliofanikiwa ku-make on the list ya new selected Tony Elumelu Foundation Entrepreneur for year 2018.
Haikuwa rahisi hata kidogo, 150,000+ applications from 54 countries, you guys are luck and you deserve it. Hongereni kwa kuwa sehemu ya new batch ya 1250 entrepreneur for 2018.
Mkirudi home msisahau kusimamia vema biashara zenu, kufungua mirija mipya ya Ajira kwa vijana wenzetu na kushare knowledge ya kile mtakacho gain huko Nigeria, lakini pia kushare ideas za jinsi mlivo andika application zenu hadi mkashinda TEF2018.
Mkapeperushe vema bendera ya nchi yetu.
Congrats!!
God bless Tanzania
God bless Africa.