KUKULU- KAKALA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 312
- 1,299
Straight to the point! Kuna mkakati unaosukwa wa Kutengeneza COALITION ( MUUNGANO WA KISIASA) wa vyama vya ACT-WAZALENDO, CUF, CHAUMMA, na NCCR na kusimamisha mgombea mmoja kwenye mbio za urais 2025.
Mkakati unasukwa na system Ili kuaminisha uwepo wa demokrasia Kwenye uchaguzi mkuu na wameahidiwa Kuwa sponsored Kwenye kampeni zao na watapewa wabunge 35 bara.
Mgombea Urais atatoka CHAUMMA na ni mgeni kabisa Kwenye chama hicho na ni kiongozi toka CHADEMA. Hii inaenda sambamba na ZZK kujitoa Kwenye kugombea Urais Kupitia ACT WAZALENDO na Kurudi jimboni kugombea ubunge.
Mwisho kabisa za Chini ya kapeti ni kwamba MDEE atarudi nyumbani pamoja na baadhi ya wenzake watatu.