KUKULU- KAKALA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 312
- 1,299
Bahati mbaya sana Mungu ameshakataa lile gombea koboaji kuwa Rais, hivyo linapoteza muda wake bureee maana Mungu kashafukwa huko mbinguni.Straight to the point! Kuna mkakati unaosukwa wa Kutengeneza COALITION ( MUUNGANO WA KISIASA) wa vyama vya ACT-WAZALENDO, CUF, CHAUMMA, na NCCR na kusimamisha mgombea mmoja kwenye mbio za urais 2025.
Mkakati unasukwa na system Ili kuaminisha uwepo wa demokrasia Kwenye uchaguzi mkuu na wameahidiwa Kuwa sponsored Kwenye kampeni zao na watapewa wabunge 35 bara.
Mgombea Urais atatoka CHAUMMA na ni mgeni kabisa Kwenye chama hicho na ni kiongozi toka CHADEMA. Hii inaenda sambamba na ZZK kujitoa Kwenye kugombea Urais Kupitia ACT WAZALENDO na Kurudi jimboni kugombea ubunge.
Mwisho kabisa za Chini ya kapeti ni kwamba MDEE atarudi nyumbani pamoja na baadhi ya wenzake watatu.
in your dreamsHili ni jema sana!, chadema ikufe kabisa,chadema gani ina viongozi wenye roho mbaya kiasi hiki, ikufe, amen.
Wakati nachonga barabara za mwanza kwa caterpillar, mamia ya wananchi walikuwa wanalizunguka!, mpaka najiuliza kulikoni, sasa sijui caterpillar lilikuwa linamwaga sera za urais au kitu ganiin your dreams
check mkutano wa heche leo mwanza, halafu niambie kama kuna dalili za CDM kufa
utakufa weweHili ni jema sana!, chadema ikufe kabisa,chadema gani ina viongozi wenye roho mbaya kiasi hiki, ikufe, amen.
Utakuwa mpango wa kuchota pesa tu hamna kitu hapoStraight to the point! Kuna mkakati unaosukwa wa Kutengeneza COALITION ( MUUNGANO WA KISIASA) wa vyama vya ACT-WAZALENDO, CUF, CHAUMMA, na NCCR na kusimamisha mgombea mmoja kwenye mbio za urais 2025.
Mkakati unasukwa na system Ili kuaminisha uwepo wa demokrasia Kwenye uchaguzi mkuu na wameahidiwa Kuwa sponsored Kwenye kampeni zao na watapewa wabunge 35 bara.
Mgombea Urais atatoka CHAUMMA na ni mgeni kabisa Kwenye chama hicho na ni kiongozi toka CHADEMA. Hii inaenda sambamba na ZZK kujitoa Kwenye kugombea Urais Kupitia ACT WAZALENDO na Kurudi jimboni kugombea ubunge.
Mwisho kabisa za Chini ya kapeti ni kwamba MDEE atarudi nyumbani pamoja na baadhi ya wenzake watatu.
Nikitaka nishangae mashavu ya ndani ya wanachadema chakavu yasimuwaze Zitto....Straight to the point! Kuna mkakati unaosukwa wa Kutengeneza COALITION ( MUUNGANO WA KISIASA) wa vyama vya ACT-WAZALENDO, CUF, CHAUMMA, na NCCR na kusimamisha mgombea mmoja kwenye mbio za urais 2025.
Mkakati unasukwa na system Ili kuaminisha uwepo wa demokrasia Kwenye uchaguzi mkuu na wameahidiwa Kuwa sponsored Kwenye kampeni zao na watapewa wabunge 35 bara.
Mgombea Urais atatoka CHAUMMA na ni mgeni kabisa Kwenye chama hicho na ni kiongozi toka CHADEMA. Hii inaenda sambamba na ZZK kujitoa Kwenye kugombea Urais Kupitia ACT WAZALENDO na Kurudi jimboni kugombea ubunge.
Mwisho kabisa za Chini ya kapeti ni kwamba MDEE atarudi nyumbani pamoja na baadhi ya wenzake watatu.
hii script ya drama umeandika mwenyewe au umeandikiwa gentleman?Straight to the point! Kuna mkakati unaosukwa wa Kutengeneza COALITION ( MUUNGANO WA KISIASA) wa vyama vya ACT-WAZALENDO, CUF, CHAUMMA, na NCCR na kusimamisha mgombea mmoja kwenye mbio za urais 2025.
Mkakati unasukwa na system Ili kuaminisha uwepo wa demokrasia Kwenye uchaguzi mkuu na wameahidiwa Kuwa sponsored Kwenye kampeni zao na watapewa wabunge 35 bara.
Mgombea Urais atatoka CHAUMMA na ni mgeni kabisa Kwenye chama hicho na ni kiongozi toka CHADEMA. Hii inaenda sambamba na ZZK kujitoa Kwenye kugombea Urais Kupitia ACT WAZALENDO na Kurudi jimboni kugombea ubunge.
Mwisho kabisa za Chini ya kapeti ni kwamba MDEE atarudi nyumbani pamoja na baadhi ya wenzake watatu.
Hata kama ikiwa sii muungano huru,ila muungano kwa hisani ya ccm,kwa lengo la hujuma kwa chama kilicho jitanabahisha na kukubalika zaidi ya ccm nikiwa na maana ya Chadema.Straight to the point! Kuna mkakati unaosukwa wa Kutengeneza COALITION ( MUUNGANO WA KISIASA) wa vyama vya ACT-WAZALENDO, CUF, CHAUMMA, na NCCR na kusimamisha mgombea mmoja kwenye mbio za urais 2025.
Mkakati unasukwa na system Ili kuaminisha uwepo wa demokrasia Kwenye uchaguzi mkuu na wameahidiwa Kuwa sponsored Kwenye kampeni zao na watapewa wabunge 35 bara.
Mgombea Urais atatoka CHAUMMA na ni mgeni kabisa Kwenye chama hicho na ni kiongozi toka CHADEMA. Hii inaenda sambamba na ZZK kujitoa Kwenye kugombea Urais Kupitia ACT WAZALENDO na Kurudi jimboni kugombea ubunge.
Mwisho kabisa za Chini ya kapeti ni kwamba MDEE atarudi nyumbani pamoja na baadhi ya wenzake watatu.
Kweli akili ya mtu unaweza kuinunua ili akakubali kuwa mjinga,na hata akiwa profesa analudi kuwa sawa na mtu ambaye hana elimu,RIP profesa LipumbaStraight to the point! Kuna mkakati unaosukwa wa Kutengeneza COALITION ( MUUNGANO WA KISIASA) wa vyama vya ACT-WAZALENDO, CUF, CHAUMMA, na NCCR na kusimamisha mgombea mmoja kwenye mbio za urais 2025.
Mkakati unasukwa na system Ili kuaminisha uwepo wa demokrasia Kwenye uchaguzi mkuu na wameahidiwa Kuwa sponsored Kwenye kampeni zao na watapewa wabunge 35 bara.
Mgombea Urais atatoka CHAUMMA na ni mgeni kabisa Kwenye chama hicho na ni kiongozi toka CHADEMA. Hii inaenda sambamba na ZZK kujitoa Kwenye kugombea Urais Kupitia ACT WAZALENDO na Kurudi jimboni kugombea ubunge.
Mwisho kabisa za Chini ya kapeti ni kwamba MDEE atarudi nyumbani pamoja na baadhi ya wenzake watatu.
Lazima wahakiki unachofanya kinaendana na kodi yao wanayolipa?.Wakati nachonga barabara za mwanza kwa caterpillar, mamia ya wananchi walikuwa wanalizunguka!, mpaka najiuliza kulikoni, sasa sijui caterpillar lilikuwa linamwaga sera za urais au kitu gani