Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio tumelaaniwa ndio maana kila kesi uko nje hatushindiCursed? [emoji15][emoji15][emoji15]
Cursed?This country is crused
@Etwege @eltwegeKuna lijinga moja humu JF huwa linadhihaki kwa kushauriwa vema kuhusu "MIGA"!Huwa linaandika..."tutashtakiwa MIGA"...!
Ndiyo maana ya uwekezaji.Soon itakuwa Tanzania yashindwa kesi na DP world , yatakiwa kulipa trillion 15!
Hii ndiyo mbinu mpya iliyobuniwa na wakubwa serikalini kujilipa .
Na hatujui nani aliyetulaani,Is "cursed" for real!
Alikufa kabla hatujabalehe.Hatukuwahi kumuona uso kwa macho.Na hatujui nani aliyetulaani,
mhhh.. kazi ipo hii nchi ukiijulia kutajirika ni kufumba na kufungua macho tuShirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake na IPTL -Independent Power Tanzania Limited.
Hukumu hiyo imefikiwa mwisho wa wiki iliyopita ambapo World Bank tribunal (international centre for settlement of investment disputes ICSID imeamuru TANESCO kuilipa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB HK) kiasi cha dola za kimarekani milioni 148.40 pamoja na tozo riba.
SCB HK ndio walionunua mkopo wa IPTL kutoka bank ya Malaysia Danaharta kwa gharama ya dola za kimarekani milioni 76.1
Kwa habari zaidi soma the Guardian la leo:
Mhuuuuu……!!!
Apewe ni haki yakeShirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake na IPTL -Independent Power Tanzania Limited.
Hukumu hiyo imefikiwa mwisho wa wiki iliyopita ambapo World Bank tribunal (international centre for settlement of investment disputes ICSID imeamuru TANESCO kuilipa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB HK) kiasi cha dola za kimarekani milioni 148.40 pamoja na tozo riba.
SCB HK ndio walionunua mkopo wa IPTL kutoka bank ya Malaysia Danaharta kwa gharama ya dola za kimarekani milioni 76.1
Kwa habari zaidi soma the Guardian la leo:
Mhuuuuu……!!!
Hivi alikuwa na sababu zipi za kutulaani! Maana yawezekana nae tulimzulumuAlikufa kabla hatujabalehe.Hatukuwahi kumuona uso kwa macho.
Watanganyika Wadanganyika!Mzee baba JPM aliwaambiaga wasomi na wanasheria inakuwaje sisi hatushindi hizi kesi, kwa nini wanasheria wetu hawapambani kama hao wakoloni ili na sisi tushinde?.
Sikumuelewa kwa nini ila naanza kuelewa kwa nini?.
But nje ya hapo kuna clip hii hapa juu ya mikataba inayosababisha nchi kushindwa kesi na kuliwa 👇🏾.
View attachment 2719120
Harafu Kuna mtu bado anataka mikataba ya magungo iendelee kusainiwa mpaka lini tutaendelea kulipa fidia?Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake na IPTL -Independent Power Tanzania Limited.
Hukumu hiyo imefikiwa mwisho wa wiki iliyopita ambapo World Bank tribunal (international centre for settlement of investment disputes ICSID imeamuru TANESCO kuilipa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB HK) kiasi cha dola za kimarekani milioni 148.40 pamoja na tozo riba.
SCB HK ndio walionunua mkopo wa IPTL kutoka bank ya Malaysia Danaharta kwa gharama ya dola za kimarekani milioni 76.1
Kwa habari zaidi soma the Guardian la leo:
Mhuuuuu……!!!
Ni dhambi ya kurithi.Tutairithi hadi akili zitukae sawasawa.Hivi alikuwa na sababu zipi za kutulaani! Maana yawezekana nae tulimzulumu
Safi sana.Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake na IPTL -Independent Power Tanzania Limited.