Tegeta Escrow: TANESCO yashindwa kesi dhidi ya IPTL. Yaamriwa kulipa zaidi ya Sh. Bilioni 320!

Kweli Wajinga waliwao

Watanzania sisi ni wajinga, wacha tuliwe

Akina Lissu wanashauri wanaishia kuitwa Wasaliti 🙌
 
mhhh.. kazi ipo hii nchi ukiijulia kutajirika ni kufumba na kufungua macho tu
tunajila wenyewe hao wazungu na wageni ni mitego tu ila wasuka deals na walaji ni wazee wetu wakubwa na tunaamka nao kila siku nchini mwetu yamekosa uzalendo na aibu kabisa hivi kweli ukaitie short nchi yako masikini billion zaidi ya 320 hata mshipa wa aibu hauna...!

wazee wetu mmekosa uzalendo kwa kiasi kikubwa mno mnatukosea sana vijana nyie.!

vijana tunapambana sana mazingira magumu mno kwa nchi yetu hii tuoneeni huruma basi japo kidogo haya maisha magumu mnayasababisha ni nyinyi maana loss kama hiyo ya karibu billion 350 hapo hakuna mitaji kwa vijana ya kutosha wala wanawake wala hospitali za kutosha wala ajira za kutosha mnafanya tujenge chuki na serikali yetu inakera na kuumiza sana.
 
Apewe ni haki yake
 
Watanganyika Wadanganyika!
 
Harafu Kuna mtu bado anataka mikataba ya magungo iendelee kusainiwa mpaka lini tutaendelea kulipa fidia?
 
Safi sana.
Tumepigwa tena.
CCM Oyeeeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…