Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuisoma namba kwangu inamaanisha kwamba Sisiemu lazika ishinde uchaguzi kwa bao la mkono ili watanzania waendelee kunyonya ili bills kama hizi za dowans,iptl zilipwe zote sasa nani mwingine wa kulipa ikija regime nyingine itakuwa hatari tupuhahahahaaa na bado mtaisoma namba
Cheki akili za mtu huyu hatutoboi kama tutaendelea kuwaombea watu ili watuibie sasa sijui na wewe ni mnufaika makitu hii.
pesa imelipwa kwa watu waliokuwa wakiendesha mradi,really people hawa hongkong bank wanatokea wapi,maana hatukununua umeme toka standard chartered hongkong,Kikwete alilidanganya Taifa aliposema zile pesa si za umma, pesa ambazo CAG, BoT na TRA wote walisema ni za umma. Uthibitisho mwingine huu hapa. Kumbe yule mwizi na fisadi Rugemarila hakutoa hata senti moja katika hiyo 30% yake.
"SCB-HK understands that PAP used $75 million of the funds obtained from the escrow account to pay VIP Engineering and Marketing Limited (owned by Tanzanian businessman James Rugemalira) for its 30 per cent shareholding in IPTL," says part of the 100-page ruling.
"The funds held in the escrow account that should have been available to satisfy TANESCO's payment obligations to IPTL under the PPA (power purchase agreement) have therefore been paid to two Tanzanian parties - VIP and PAP - neither of whom made any financial contribution to the construction of the facility," it adds.
Kama walijikinga, kwa nini walipeleka kesi mahakamani in the first place na kulipa legal fees kubwa tu, kwani at the end of the day hawatakalipa chochote???Watanzania bwana, yaani watu wengi kumbe uwa awafuatilii habari kwa kina ushabiki tu na thread zinapita hapa hapa JF.
Hili swala TANESCO mbona walishajikinga, ikitokea wakishindwa hii kesi PAP ndio walipe deni na ndio kigezo cha mahakama pia kabla ya malipo kutolewa.
Hoja za msingi tunatakiwa kujiuliza third party rights kwenye mkataba, exclusiveness na mantiki ya sheria zetu. Maana TANESCO hawana mkataba na HSC huu ni ukoloni mambo leo tunao ushangilia.
hii nchi ilishalaaniwa hakuna fedha
Kalasinga ni mtu wa kupull string behind the scene!katupatia kweliIfike mahali watanzania tuwe very serious, tena more than that. Leo hata nikikamatwa kwa kuchochea uvunjivu wa amani dunia itaniona shujaa kuliko yule kijana wa Hong kong aliyeshinda ubunge huku kesi ikiwa mahakamani.
Bunge liliishauri serikali kuachana na kuitaifisha iptl lakini kwa kununuliwa kwenu na huyu mhindi ambaye ana uraia wa hapa mkaziba masikio.
Leo hii mnashindwa kesi na kutulipisha mahela yote hayo na wakati huohuo tunamlipa milioni 400 kila siku. Jama, nani katushikia akili zetu? Serikali inashindwa nini kumweka kizuizini huyu mtu na kundi lake? Kama mnashindwa basi mob justice itake place manake hatuwezi kukosa hiduma muhimu kama maji, dawa na malazi pamoja na elimu kisha tukaacha kodi zetu zikawanufaishe wachache.
Hapa mtukufu sana rais sema chochote vinginevyo nitakuwa wa kwanza kushtakiwa na tanesco kwa kuwahujumu. Sitolipia umeme hadi huyu singa afungwe magereza.
Kwa serikali ipi mkuu?Ambayo itachukua hatua hizo..Pia wote waliohusika kudanganya Bunge na wananchi kwa ujumla washitakiwe na Sheria ichukue mkondo wake...walisema pesa sio ya serikali wala sio ya Tannesco kama nakumbuka vizuri
Kwahiyo hapo sisi watumiaji ndo imekula kwetu nchi hii ina mambo ya kijinga sana na hili shirika sijui kwanini wanashindwa kulipa mshindani wake kama ilivyo mitandao ya simu mana lingeshajifia siku nyingi huduma mbovu ila maingizo yao makubwa
Kwa mawakili wetu hawa wa serikali? Lazima tushindwe kila siku.am getting mad..!!
COPY:
1: JeyKey
2: PAP
3: Rugemarila, VIP Engineering
4: Pro. Muhongo
5: Prof. Benno Ndullu
6: Waziri Mpango..!!
My suggestions and decisions:
1: KAMATENI HARAKA SANA Kalasinga tapeli, Sigh..!! PAP..!! Awe chini ya ulinzi tokea sasa hv..!! haraka sana
2: Kamateni, IPTL & freeze its assets, iwe chini ya Serikali, haraka sana..!!
3: Mali zote, duniani za PAP, mkalasinga tapeli, zikamatwe, ili kufidia huu utapeli mkubwaa..!!
4: 200 mil zinazolipwa IPTL kila siku..!! narudia malipo ya kila siku ya IPTL yasimamishwe mara moja, na kuiteka IPTL sasa hv... na kuwa chini ya serikali haraka sana...!!
5: Kalasinga PAP, ashitakiwe haraka sana hapa nchini kwa kuua uchumi na uhujumi uchumi wa nchi, kuibia Taifa kupitia IPTL, ESCROW... na asipewe dhamana hata kidogo.. hata kidogo.. huyu ni muuaji.. jambazi, fisadi la mafisadi...!!
National Interests should come FIRST to rescue our nation from this biggest theft in CENTURY...!!
Tanzania tuseme sasa basi.. Taifa kwanza sasa...!!
so unawaamini sana hao wazungu na mahakama yao fake?,Maamuzi ya kisheria ndio yameishatoka sasa nyie endeleeni kuruka "samba soti".
''Mavi ni mavi tu hata ukiyapaka rangi ukiyafunika na bakuli"naona walikuwa wamelifunika jipu sasa limechipua tena.
Bado mrejesho mwingine wa Lugumi unafuka moshi moto bado haujawaka.
Nakumbuka gavana aliweka shariti la PAP kulipa gharama zozote zitakazoibuka kabla ya kuruhusu hela zile kutolewa na PAP walikubali sasa naishindwa kuelewa iweje leo TANESCO ndio wadaiwe au ulikuwa ni usanii tu na kutuhadaa watanzania?
Au baada ya hukumu hiyo ndio sasa Serikali /TANESCO wambane PAP alipe gharama hizo?
Bunge ni ''Toothless dragon"hana uwezo wa kumwajibisha serikali japo sheria imempa mamlaka hayo ila kiutendaji ni mbwa asiye na meno hang'ati ndipo sasa unakuta anatoa maazimio yasio na tija yoyote kiutekelezaji.Bunge liliazimia serikali isiendelee kulipa IPTL na ile mitambo itaifishwe kwa nn hili halijufanyika??
Tulipo fikia kwa sasa wakamue tu tena sana, ili adabu irudi kwa raia wa vijijini waelewe nini mana ya siasa uchwara. Sio kupelekwa pelekwa kwa ulaghai wa kanga na kofia then maisha yanaishia hapo.so unawaamini sana hao wazungu na mahakama yao fake?,
hao ni international conmen ,mkiwalegezea mtauza hadi nguo za ndani kuwalipa,na ikishaa hiyo utasikia kumbe standard chartered hongkong nao waliuza deni kwa swiss bank ambao nao wamefungua kesi ya madai dhidi ya Tanesco,mtakamuliwa mpaka basi..
Ilimu ilimu ilimu