Dr. Msafiri
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 471
- 154
Kwa kuwa mtaalamu wa kutumbua majipu tunaye, basi hata jipu hili linalotoa usaha sasa anaipata harufu yake! Atachukua hatua stahiki, In sha Allah!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri uone kitakacho fuata:TUSISINGIZIE WAZUNGU MAKOSA YAKO KWA UONGOZI MBAYA NA WAKITAPELI. NANI ALIYETOWA PESA KUTOKA KWENYE ACCOUNT YA TEGETA? SIO WAZUNGU. NA HIZO PESA ZILIGAWANISHWAJE? MAJINA YA WAKINA CHENGE, TIBAIJUKA NA WENGINE SELIKALINI YALITAJWA, LAKINI KUNA MAJINA MENGINE MPAKA SASA YAMEWEKWA SIRI. SASA SERIKALI INABIDI IWAAMBIE WANANCHI PESA ZA ACCOUNT TEGETA ZIRILUHUSIWA VIPI KUCHUKULIWA KWENYE ACCOUNT NA ZIKAGAWANYWA KWA WATU WENYE VYEO SERIKALINI NA WAKATI KESI YA MADAI INAENDELEA?. JAMANI PENGINE WAKUBWA ZETU WANAONA WATANZANIA WAJINGA, LAKINI SIO WAJINGA, WATANZANIA WANAPENDA AMANI. WATU WALIOTUMIA HIZI PESA, KUMBUKENI WAKATI MNAKAA MEZANI NA FAMILIA ZENU MUKILA WATANZANIA WENGINE WANALALA NJAA KWA KUWA MUMEWAZUDURUMU CHAKULA CHAO KUPITIA KWENYE WIZI HUU. MUKIENDA KANISANI, AU MISITIKINI MUNGU MUNAYEMUOMBA NA ALIYEWAUMBA NI YULE YULE ALIYEWAUMBA MUNAOWADHURUMU. NA KITU CHA MWISHO NI KWAMBA HAKUNA PAMOJA NA WIZI HUU WA KIMACHAMACHO, LAKINI HAYO MAJUMBA MAKUBWA YA WIZI MWISHO WAKE NI KABURI.
Liwalo na liwe, hakuna namna mkuukwa lugha nyingine unasema ikamatwe serikari yote mkuu na taasisi za dini haiwezekani
Teh...teh...teeth...teeeh....huyo Mungu wa Ikulu mkuu.Mwambie Mungu wenu alihaidi kuwalinda wazeee
Mficha maradhi...........Kwani hilo lilihitaji tufike huku ndio wakamatwe? Ni sawa na lugumi inavyofumbiwa macho sasa hivi.
Hawa wanataka kutupunguza kasi ya kuhamia Dom, nn?!hii nchi ilishalaaniwa hakuna fedha
Wewe endelea kuota siku ukiamka unaambiwa ulipe laki tano kama gharama ya umeme ya mweziKwa kuwa mtaalamu wa kutumbua majipu tunaye, basi hata jipu hili linalotoa usaha sasa anaipata harufu yake! Atachukua hatua stahiki, In sha Allah!
Bunge linapiga kura ya kukosa imani na serikali.Hivi inakuwaje kiutaratibu pale serikali inapokaidi maamuzi ya bunge Kwa nchi zinazoheshimu taratibu kanuni na sheria anyway
LABDA NISAIDIE MAELEZO HAYA CHINI
ESCROW account ni akaunt ambayo hufunguliwa ili kuweka pesa za mdaiwa wakati kuna mgogoro na mwenake katika biashara juu ya kiasi gani anatakiwa alipe, ili mdai asiondoe huduma yake!. TANESCO na IPTL walikuwa na mgogoro wa capacity charge. Tegeta Escrow ACCOUNT ILIFUNGULIWA ILI CHARGES ZA TANESCO kwa kupewa umeme na IPTL ziwekwe kwenye account hiyo hadi hapo mgogoro wao utakapomalizika mahakamani. Kama mahakama itashusha capacity charge basi IPTL ichukue chake na TANESCO wabaki na kile cha juu! hili lilitegemea maamuzi ya MAHAKAMA ISCID. So ni hadi hapo mahakama ikisema correct charge ni sio shs 10 bali ni shs 8 basi hizo shs 2 ndo zitakuwa za umma na shs 8 za mdai!
Come to the real issue now, tatizo ni pia Mahakama zinaichanganya TANESCO- Mahakama yetu iliipa PAP UMILIKI baada ya kuwa imemalizazana na Rugemarila kuwa ndo mmiliki halali wa IPTL, Bahati mbaya TANESCO wakawa washailipa PAP pesa yote bila hata kusubiri kesi yao walioshinda kwenye capacity charge.
Leo hii ICSID ime rule out kuwa mmilikiwa IPTL ni standard SBC-HK. Mambo ya nani mmiliki wa IPTL hayaihusu TANESCO.Hata TANESCO ilipoilipa PAP ilitaka assuarance kuwa PAP italipa kwakuwa mgogoro wa umiliki hauwahusu wao,
"Gavana, akaenda mbali zaidi ili fedha zisije daiwa au potea tu..kuona hizi fedha zisije potea bure, aliomba uhakikisho na assurance ya mwisho, kuwa je IKITOKEA MTU KAJA KUDAI HIZO FEDHA itakuwaje..!? Ndio PAP akatoa guarantee, kuwa yeye ndio yuko responsible na atalipa...!! JK
Naona Makosa makubwa ya TANESCO ni mawili. i kuwahi kulipipa PAP kabla hata ya kusubiri hukumu juu ya capacity charge na la pili ii. Kutosubiria mgogoro wa umiliki wa IPTL iliijue exactly inamlipa mmiliki halali
Haya mambo mengine ni siasa tu! JK angekuwa ana interest humo kwanini amtake gavana kuhakikisha TANESCO hailipi mara mbili?
Watashinda kesi vipi wakati hizo kesi wanatengeneza wenyewe na mahakama zenyewe zinakutana hotelini? CCM wakisha chacha lazima "Mahakama ya Migogoro ya Matapeli" inaamua TANESCO walipe hiki au walipe kile.Hivi kwanini serikali na Tanesco huwa hawashindi hata kesi moja? Itokee basi washinde hata kikesi kimojawapo Uchwara, dah!
Mara hii wamepata pigo jengine katika mgogoro wao wa kisheria wa muda mrefu dhidi ya Kampuni ya IPTL ambapo sasa wanatakiwa kulipa benki ya Standard Chartered -Hong Kong jumla ya dola za Marekani milioni 148.4(takribani sh.bilioni 320/- za TZ).
Hatua hiyo inafuatia uamuzi wa Baraza la Usuluhishi la Benki ya Dunia kutoa hukumu ya kulipwa kwa fedha hizo ambazo zinajumuisha na riba ya deni la tozo ya uwekezaji.
Uamuzi huo umekuja miaka mitatu tangu serikali iruhusu kitatanishi kufanyika kwa malipo ya dola milioni 200(sh.bilioni 440) kutoka akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa imefunguliwa Benki Kuu ya Tanzania(BOT) kwenda kampuni ya Pan Africa Power Solutions (T) Ltd ya Harbinder Singh Sethi.
Chanzo: Gazeti la Nipashe leo tar.19/9/2016
Au kuuma mkono unaokulisha!Hawezi kukata tawi alilokalia.
Hiyo mahakama ya kangaroo? Hamna lolote hapo.Usipolipa mahakama ina issue warrant wa Ku seize Mali za Tanzania popote ilipo
Waibe hela wengine,sisi tulipe deni? Hii haikubaliki. Tibaijuka na wenzako mkalipe deni
haha mkuu unaota huku unatembea! Kwahiyo mlima klm utauzwa ili sis walipa kodi tusito hizo fedha? Hebu nieleweshe serekal itatoa wap hela?Nasikitika sana kwa kweli,, inauma sana.
Waliosababisha natamani kama walifanya kwa makusudi ili kutukomoa basi wawajibishwe. Ni mzigo mkubwa sana kwa walipa kodi kulipa vitu visivyoeleweka.
Naamini kabisa uongozi uliopo madarakani utafanya kila liwezekanalo kuondoa mzigo huu usiwaangukie walalahoi.
Hela yote hii kama ingewekezwa kwenye elimu ingejenga shule nyingi sana, ingeingizwa kwenye afya ni vijiji vingi vingepata zahanati na madawa bure kabisa.
Ingeweza hata kuingizwa kati ya viwanda vilivyokufa na kufufua kimoja wapo na tukapiga hatua moja mbele.
Tanesco wanadaiwa pesa kwa kuvunja mkataba na iptlWandugu mbona mimi sielewi, wakuu walisema ile sio hela ya UMMA ni hela ya watu binafsi na wenyewe wamelipwa (Singh and Company). Sasa mbona hapa inaonekana waliolipwa sio na hawakustahili. Sasa ikidaiwa Tanesco ni wazi ile hela ilikuwa ya UMMA au mimi sijui?????? Hebu tukumbushane walio ridhia jamaa walipwe ni wakina nani na je hawa si ndio wamezidi kutuingiza mkenge? Wamelipa hela ya Escrow na sasa Tanesco lazima walipe deni la SCB-HK. Je jamaa watarudisha change yetu? Je walio-ridhia malipo watawajibishwa? Inaelekea ile hela haikuwa yao ndio maaana watu wamegawana bila uchungu? Na uliza tu sio nia yangu kuleta uchochezi. Ngoja ninyamaze hapa.
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake IPTL -Independent Power Tanzania Limited.
Hukumu hiyo imetolewa na mahakama ya inayoshughulika na migogoro ya uwezekaji, ICSID yenye makao yake mjini Washington DC, Marekani na ipo chini ya benki ya dunia.Tanesco ilikuwa ikiwakilishwa na makampuni mawili ya wawanasheria R.K. Rweyongeza & Co. Advocates na Crax Law Partners ya Tanzania, pamoja na lile la Zurich, Kellerhals Carrard. Pesa hizo zinatakiwa kulipwa kwa Standard Chartered Bank-Hong Kong (SCB-HK).SCB-HK ililinunua deni la IPTL kwa punguzo la bei ya milioni 76.1 kutoka Danaharta Bankin ya Malaysia, August 2005 baada ya Danaharta kushindwa kuchukua mkopo wake kutoka kwa IPTL.
Hiyo ina maana kuwa SCB-HK imepata faida ya dola milioni 172. IPTL ilikopa dola milioni 100 mwaka 1998 kutoka kwenye kundi la benki za Malaysia ili kujenga mtambo umeme Tegeta wenye megawatt 100.
TANESCO ilifungua kesi ICSID baada ya kubaini kuwa imekuwa ikitozwa zaidi na IPTL. Kesi hiyo inahusiana na ripoti ya uchunguzi wa kashfa ya IPTL iliyohusisha uchotwaji wa shilingi bilioni 306 za kitanzania.
Hukumu hiyo imefikiwa mwisho wa wiki iliyopita ambapo World Bank tribunal (international centre for settlement of investment disputes.
ICSID imeamuru TANESCO kuilipa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB HK) kiasi cha dola za kimarekani milioni 148.40 pamoja na tozo riba.
SCB HK ndio walionunua mkopo wa IPTL kutoka bank ya Malaysia Danaharta kwa gharama ya dola za kimarekani milioni 76.1
Kutokana na gharama za riba na nyinginezo sasa TANESCO inatakiwa kulipa Bilioni 700 ZAKITANZANIA.
BILA SHAKA TANESCO WANAYAANGAZA MAISHA YETU
Kwa habari zaidi soma the Guardian la leo:
==========
TANESCO ordered to pay $148m over IPTL dispute
Washington-based tribunal rules in favour of Standard Chartered Bank, saying dubious payments made from the Tegeta escrow account to businessman Harbinder Singh Sethi do not discharge TANESCO's obligations to the bank
By Guardian Reporter
THE Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) has suffered a massive blow in its protracted legal dispute with Independent Power Tanzania Limited (IPTL) after a World Bank tribunal last week ordered the state-owned power utility to pay Standard Chartered Bank-Hong Kong (SCB-HK) $148.4 million (over 320 billion shillings) plus interest in outstanding capacity charges.
The ruling comes nearly three years since the government controversially authorised payments of over $200 million (440 billion/-) from TANESCO-IPTL’s Tegeta escrow account to businessman Harbinder Singh Sethi’s Pan Africa Power Solutions Tanzania Limited (PAP).
This was after SCB-HK purchased the IPTL loan at a discount price of $76.1 million from Malaysia’sDanaharta Bankin August 2005, following the latter’s failure to secure its outstanding loan from IPTL.
The actual face value of the debt was $101.7 million, according to available evidence. IPTL borrowed over $100 million in 1998 from a consortium of Malaysian banks in order to finance construction of its 100-megawatt Tegeta power generating plant.
Under that transaction, SCB-HK was assigned a number of contracts, including the 1997 Security Deed, the Implementation Agreement and the Guarantee Agreement concluded between IPTL and the Tanzanian government. The available details show that SCB-HK also became the Security Agent under the Share Pledge Agreement and the Shareholder Support Deed.
Part of the agreement said: “As Security Agent, SCB HK holds all of IPTL’s ‘right, title and interest in and to the Assigned Contracts, including all moneys which may at any time be or become payable to the Borrower.'"
TANESCO had earlier taken its dispute with IPTL to the World Bank-affiliated International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) for arbitration after the state-owned power utility discovered that it was being overcharged in both capacity and energy charges.
Following this move, both parties agreed as stipulated in their 1996 Power Purchase Agreement (PPA) to establish an escrow account with the Bank of Tanzania (BoT), to be used to deposit all payments pending the outcome of the arbitration.
But a few months before ICSID issued its ruling, the government controversially (and secretly?) paid all the escrow money to PAP after the company claimed that it had acquired full 100 per cent ownership of IPTL in September 2013.
The Washington-based ICSID ruled in favour of TANESCO in February 2014, ordering a tariff recalculation so that finally the escrow money could be paid to either IPTL or the power utility firm, only to then be informed that a third party (PAP) had already been paid everything.
SCB-HK took TANESCO to the ICSID after it realised that the money in the escrow account has been paid to PAP at a time when there was still another pending case over the tariff dispute.
The bank was demanding outstanding payments to clear a loan taken by IPTL’s initial owners to set up the electricity generating turbines.
The Hong Kong-based bank took over control of IPTL after the company failed to pay its loan in 2008, and has since then been fighting to recover the debt.
And after more than five years of rigorous legal proceedings, ICSID judges have now finally ruled in favour of the bank.
"The tribunal orders that TANESCO pay to SCB-HK (Standard Chartered Bank Hong Kong) the amount of $148.4 million with simple interest at three month LIBOR (London Interbank Offered Rate) plus 4 per cent from September 30, 2015 until the date of this award," ICSID said in its latest ruling.
"Interest shall continue at the same rate until full payment is received," the ruling added.
DUBIOUS ESCROW ACCOUNT PAYMENTS
ICSID also ruled that payments made by the government from the infamous Tegeta Escrow Account "did not discharge TANESCO's obligations under the power purchase agreement (PPA) and thus cannot be used to reduce the amount that TANESCO owes SCB HK."
TANESCO paid more than $120 million from the IPTL Tegeta Escrow Account to Pan African Power Solutions (PAP)under dubious circumstancesin 2013.
The escrow account payments triggered a major national corruption scandal which ultimately led to the resignations of at least three senior ministers in then president JakayaKikwete's government.
A number of other senior government officials were also charged with corruption at the Kisuturesident magistrate's court over the IPTL escrow account scam.
Lawyers representing Standard Chartered Bank at the arbitration accused TANESCO of misleading the ICSID tribunal judges by concealing facts about the payments made from the escrow account to PAP.
"SCB-HK understands that PAP used $75 million of the funds obtained from the escrow account to pay VIP Engineering and Marketing Limited (owned by Tanzanian businessman James Rugemalira) for its 30 per cent shareholding in IPTL," says part of the 100-page ruling.
"The funds held in the escrow account that should have been available to satisfy TANESCO's payment obligations to IPTL under the PPA (power purchase agreement) have therefore been paid to two Tanzanian parties - VIP and PAP - neither of whom made any financial contribution to the construction of the facility," it adds.
The ruling seen by The Guardian was dispatched to the parties involved in the arbitration - Standard Chartered Bank and TANESCO - on September 12 this year.
The ICSID is part of the World Bank Group and is funded by the Bretton Woods institution. It is headquartered in Washington, DC, in the United States.
An ICSID award is binding on all parties to the proceeding and each party must comply with it.
If a party fails to comply with the award, the other party can seek to have the pecuniary obligations recognised and enforced in the courts of any ICSID member state as though it were a final judgment of that state’s courts.
Members of the tribunal that issued the award in favour of Stanchartwere Prof Donald McRae (president), Prof Zachary Douglas (arbitrator), and Prof Brigitte Stern (arbitrator).
In the arbitration process, the bank was represented by a team of lawyers from two London-based law firms - Herbert Smith Freehills LLP and Linklaters LLP.
TANESCO was represented by a team of lawyers from Tanzanian-based law firms R.K. Rweyongeza & Co. Advocates and Crax Law Partners, and a Zurich-based law firm Kellerhals Carrard.
Habari hii imesomwa pia kwenye kipindi cha JAMII LEO..