Elineema Mosi
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 255
- 72
Wakuu, Natamani kuanza kwa kulia ila naona chozi langu halitakuwa na faida zaidi ya kujenga hoja na kuwaomba Wabunge wetu wawe wakali kweli kweli kwa hili !!!!??. Wadau kila mmoja sehemu alipo achangia hapa kwa wingi ni umoja wetu bila kujali itikadi za vyama vyetu!!!??. Wizi wa ESCROW hakuna asiyeujua, bunge liliendeshwa hadi usiku wa manane na wakafikia maadhimio Fulani, Serikali ikayatupa kapuni sasa Mungu alivyomwema amewaumbua wale woooote waliobariki ule kukwapuaji wa hela.
Kama wewe ni mbuge changia hapa kwamba utafanya nini ukiwa mjengoni kwa hili?, kumbuka wewe ni sauti ya wengi waliokuchagua, usichangie kwa hasira bali ibane serikali itoe majibu sahihi kwa hili.
Asante, natumaini tutaishauri serikali pamoja.