Tegeta Escrow: TANESCO yashindwa kesi dhidi ya IPTL. Yaamriwa kulipa zaidi ya Sh. Bilioni 320!

Tegeta Escrow: TANESCO yashindwa kesi dhidi ya IPTL. Yaamriwa kulipa zaidi ya Sh. Bilioni 320!

Haaaaah wanapoza uchungu wa hii mambo wakubali tu Nani atalipa mabilion wakati kila siku wanailipa milion 400
Kituko kingine hiki
 
Hili Jambo linatuumiza sana.ni bora tu serikali waendelee kulipa hizo pesa kimya kimya sio kutuletea masinema yasiyo na tija.
 
ama kweli,hata kama wanatudharau kuwa hatufikiri kwa mapana,hii sasa imezidi..hata kama hatujui kuzisoma sheria,picha nayo inatushinda kutafsiri?,jaman anaefahamu tunaenda wap,plz anisaidie..
 
naona imeanza kupigwa miluzi mingi ili kumpoteza mbwa ( mwananchi wa kawaida)
 
Mmmh kweli sisi ni shamba la bibi au niseme kichwa cha mwendawazimu
 
Ukiwa tanzania hitakiwi kufiri unaweza kufa kwa presha za nchi
 
Back
Top Bottom