Tegeta Escrow: TANESCO yashindwa kesi dhidi ya IPTL. Yaamriwa kulipa zaidi ya Sh. Bilioni 320!

Mkuu alikuwa hana madaraka ya kuitumbua LPTL, aliyekuwa madarakani alimutetea Kaladinga akisema siyo pesa za Watanzania ni pesa za kalasinga, huyo ndiyo mutu wa kumulaumu, lakini ingekuwa sasa dili kama hizo zisingepita, kwa hiyo usichanganye CCM iliyopita na hii ya sasa. Hii ya sasa ni ile CCM original ya wapenda haki na inaongozwa na Rais mpenda haki kwa Watanzania wote.
Naona haki yetu ni kulipa madeni yanayotokana na ufisadi. Sawa sawa na kubeba msalaba bila kujua hata ulichongewa wapi.
 
Porojo at Work!! Eti alikuwa hana madaraka?! Hivi sasa yeye ndie kashika usukani... unataka kusema hafahamu kwamba Escrow ilikuwa ni wizi? Yaani kwa kuwa aliyemtangulia alisema pesa ni za Singasinga ndo basi tena yeye hawezi kutia neno? SERIOUSLY? Yaani bila aibu unaongea hayo mbele ya kadamnasi?

By the way, yeye anamfanyia kazi JK au anaifanyia kazi serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Amechaguliwa na JK au alichaguliwa na wananchi wa Tanzania? Kuna maana gani basi ya kuwa na Rais ambae ataacha kukifanyia kazi kila atakachoambiwa na aliyemtangulia? By the way, huyo Rais mpenda haki ni yupi? Ni yule yule mwenye kashifa ya kuuza nyumba za serikali; au ni yupi hasa? Ni yule yule ambae alitudanganya Watanzania kwamba Wizara yake imenunua boti safi kabisa kwa mabilioni ya pesa na boti hiyo hadi sasa haijawahi kufanya kazi; au ni rais yupi hasa unayesema mpenda haki? Rais mpenda haki anaweza kutumia mabilioni ya pesa kujenga international airport nyumbani kwao ambako hakuna any flight business potential?

WEWE UNAONEKANA UNAUCHUNGU SANA NA SERIKALI YA RAIS MAGUFULI. UNAONEKATA WEWE HII SERKALI IMEKUKABA KOO, EITHER ULIKUWA MWALIMU WA DILI AMA HUPENDI HAKI NA UNAUBINAFSI NA ROHO MBAYA.. MUTU YEYETO ALIYEONA WAZI MADHAMBI ALIYOYAFUFUA RAIS MAGUFULI YALIYOKUWA YAKIFANYWA NA UONGOZI ULIYOPITA BASI HANA AKIRI YA KUONA UKWELI NA UWONGO. LAKINI NAKUHAKIKISHIA WATU KAMA WEWE WALIOKUWA WAKIFAIDIKA NA UDHURUMAJI HUU NI WACHACHE, NA WALIOKUWA WAKIDHURUMIWA NI WENGI, KWA HIYO WADHURUMAJI KWA SASA MUTASHINDWA NA WALIOKUWA WAKIDHURUMIWA WATASHINDA, HATA KAMA MKITUMIA PROPAGANDA ZA UWONGO. PENYE UKWELI UWONGO UNAJITENGA.
 
Ahsante sana Mkuu. Nondo tupu hizi.

Lazima ujuwe sheria na serikali inavyooperate, sio unaandika tu, hiyo hujisaidii, huwezi kugeuza uwongo kuwa ukweli. Waziri hawezi kuamua tu kuuza nyumba za serikali bila bunge ama Rais aliyekuwepo madarakani. Uamuzi wa kuuza nyumba ulikuwa siyo wa Rais Magufuli, Rais Magufuli Ali-implement tu baada ya bunge Pamoja na Rais kuidhinisha. KUHUSU mikataba yote ikiwa Pamoja na ya Tanesco huu ulikuwa ni juu ya Rais aliyekuwepo madarakani, mikataba mibovu mingi ilipitishwa chini ya uongozi wa JK, mikataba ikishapitishwa kisheria Hakuna mutu yeyote anaweza kuigeuza, hiyo inakuwa breach of contract. Kuna mambo mengi Rais Magufuli angependa kuyapindua na kuyaweka sawa kwa manufaa ya WATANZANIA wote, lakini sheria mbovu za mikataba hii zimemushika mikononi. Mikataba hii ilikuwa ikifanywa kwa nia ya kuwadhurumu Watanzania, na wale tuliowachaguwa kututetea ikiwa Pamoja na wana sheria wetu ambao ndiyo walikuwa wateteaji wa haki za Watanzania wote walikikuwa upande wa wale waliokuwa na nia ya kutudhurumu, ndiyo maana Rugeramila alisambaza pesa hizo kwa waliomusaidia, dili yake ikafanikiwa. Pesa zilisambazwa Ikulu , kwa mawaziri na kwa wana sheria wote na JK hakusema kitu zaidi akaweka chumvi kwenye kidonda akasema pesa sio za Watanzania ni za Singasinga. Sasa hapo Rais Magufuli kaingiliavwapi kama huna CHUKI za ufisadi? Huwezi kugeuza uwongo uwe ukweli yataushinda. Katika serikali hii, serikali ya watu mikataba kama hii hataweza kupita, kwasababu sasa tunaye Rais mwenye kupenda haki kwa wote. Kubali au usikubali huu ndiyo ukweli.
 
Tatizo lako wewe na akili yako fupi huelewi chochote unakuja hapa kuimba kama kasuku ili uhongwe nyumba nyingine. Nyumba alikwapua na kuwapa watu ambao hawakustahili kuzipata na kulitia Taifa hasara kubwa sana ya kuwaweka Wafanyakazi wake na familia zao mahotelini na kulipa mabilioni ya pesa. Yeye na Mkapa wote ni mafisadi ndiyo sababu wakakwapua zile nyumba za Serikali.

Mikataba mibovu ilipitishwa na Serikali ya JK yeye si alikuwemo ndani ya Serikali za Mkapa na Kikwete pamoja na kuona mikataba ya kifisadi ikisainiwa hakutia neno hata kwa sekunde moja naye alikuwa busy akifanya ufisadi wake wa kukwapua nyumba za Serikali, kulidanganya Bunge kuhusu upotevu wa mabilioni ya pesa za Ujenzi na pia kununua boti uozo la mwaka 1978 kwa shilingi bilioni 8.

Sasa huyo singa singa na wezi wote walioiba pesa kwanini wasikamatwe na kufunguliwa mashtaka!? Kwanini anawaogopa na kudai hawezi kufukua makaburi ya zamani? Ni kipengele kipi katika katiba ambacho kinampiga marufuku kufukua makaburi ya zamani? Anajua yeye mwenyewe ni fisadi ndiyo sababu hataki kuwagusa hawa maana naye ataanikwa hadharani kwa ufisadi wake mbali mbali.

Rais mwenye kupenda haki kwa wote hasababishi wananchi wake waishi kwa hofu, hasababishi Wafanyakazi wa Serikali waishi kwa hofu kwa kuwafukuza kila kukicha hata wanapokuwa hawana kosa lolote lile. Rais anayependa haki hatoi rushwa kwa Wabunge wake ili kupitisha muswaada uchwara wa kuminya uhuru wa habari nchini ba Rais mpenda haki kamwe hawezi kujipa mamlaka asiyokuwa nayo ya kutumia shilingi trilioni moja ambazo hazikuidhinishwa na Bunge. Rais mpenda haki kwa wote hakwapui bilioni 16 za wahanga na kukaa miezi mine bila kwenda kuwafariji wahanga wa tetemeko. Huu ni udikteta uchwara.

All CAPS means SHOUTING and it sucks seeing someone shouting unnecessarily with baseless and cheap arguments!!

It sucks seeing pamoja na makelele yote hayo bado hujajibu swali hata moja miongoni mwa yale niliyokuuliza zaidi ya kuendelea kumwaga viroja!!! Let me guess... uli-panic na ndio maana post moja ulii-quote mara 3! Chill down baby and get back to my questions:
  • Hapo mwanzo hakuwa na madaraka but hivi sasa yeye ndie kashika usukani... unataka kusema hafahamu kwamba Escrow ilikuwa ni wizi?
  • Yaani kwa kuwa aliyemtangulia alisema pesa ni za Singasinga ndo basi tena yeye hawezi kutia neno?
  • Yeye anamfanyia kazi JK au anaifanyia kazi serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
  • Amechaguliwa na JK au alichaguliwa na wananchi wa Tanzania?
  • Kuna maana gani basi ya kuwa na Rais ambae ataacha kukifanyia kazi kila atakachoambiwa na aliyemtangulia? By the way, huyo Rais mpenda haki ni yupi?
  • Ni yule yule mwenye kashifa ya kuuza nyumba za serikali; au ni yupi hasa?
  • Ni yule yule ambae alitudanganya Watanzania kwamba Wizara yake imenunua boti safi kabisa kwa mabilioni ya pesa na boti hiyo hadi sasa haijawahi kufanya kazi; au ni rais yupi hasa unayesema mpenda haki?
  • Rais mpenda haki anaweza kutumia mabilioni ya pesa kujenga international airport nyumbani kwao ambako hakuna any flight business potential?
Ni matarajio yangu kukuta majibu ya hayo maswali na sio hizo shoutings zako!
 
Mkuu wangu BAK huyu the so called Mama Obama ni moja ya majanga makuu barani Afrika!! Nilimuuliza maswali mepesi kabisa lakini ameishia ku-shout tu huku akitumia vile vibwagizo ambazo ni very obsolete "ulikuwa mpiga ma-deal!"
 
  • Thanks
Reactions: BAK
All CAPS means SHOUTING and it sucks seeing someone shouting unnecessarily with baseless and cheap arguments!!

It sucks seeing pamoja na makelele yote hayo bado hujajibu swali hata moja miongoni mwa yale niliyokuuliza zaidi ya kuendelea kumwaga viroja!!! Let me guess... uli-panic na ndio maana post moja ulii-quote mara 3! Chill down baby and get back to my questions:
  • Hapo mwanzo hakuwa na madaraka but hivi sasa yeye ndie kashika usukani... unataka kusema hafahamu kwamba Escrow ilikuwa ni wizi?
  • Yaani kwa kuwa aliyemtangulia alisema pesa ni za Singasinga ndo basi tena yeye hawezi kutia neno?
  • Yeye anamfanyia kazi JK au anaifanyia kazi serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
  • Amechaguliwa na JK au alichaguliwa na wananchi wa Tanzania?
  • Kuna maana gani basi ya kuwa na Rais ambae ataacha kukifanyia kazi kila atakachoambiwa na aliyemtangulia? By the way, huyo Rais mpenda haki ni yupi?
  • Ni yule yule mwenye kashifa ya kuuza nyumba za serikali; au ni yupi hasa?
  • Ni yule yule ambae alitudanganya Watanzania kwamba Wizara yake imenunua boti safi kabisa kwa mabilioni ya pesa na boti hiyo hadi sasa haijawahi kufanya kazi; au ni rais yupi hasa unayesema mpenda haki?
  • Rais mpenda haki anaweza kutumia mabilioni ya pesa kujenga international airport nyumbani kwao ambako hakuna any flight business potential?
Ni matarajio yangu kukuta majibu ya hayo maswali na sio hizo shoutings zako!

My friend I am not shouting but responding on your foolish argument. I have replied all your questions, If you
do not understand, that is your problem and not mine. I am happy with my President, turf for your if you don't like his style of governing that is too bad, President Magufuli is here to stay, he is a wonderful President, a man with integrity, very few in Africa, we must count ourselves very luck to have him as our President. President Magufuli is here to stay, whether you like it or not just accept it and move on. Furthermore after 10 years tumuongeze mingine 10 kama Kagame so that our country could progress like Rwanda a small country but ahead of us because of people like you, what a shame!
 
From the beginning, you been offensive to me... it's not like I am that offended but I only wanna know if you can afford that if I decide to catch a similar route?! Will you?

That's one but second; can you show me only one of your answers to my questions?

About 10 years + 10 really explains the kind of person I am wasting my time to... you deserve no one's attention especially when you have no answer even to "who elected JPM!"

Fourth: I hate to say this but to be honest, I usually despise anyone running to cheap and worthless supportive arguments!

Anyone, who instead of building constructive argument, will easily jump and say "you were a deal maker... you were the beneficiary of the corrupt system...!" I hate Parrots... who sing whatever is memorized to them by their Masters! Because Mr. Big Boss said so; then all people like parrots sing the same tune!

Lastly, I am back to my questions cuz' you answered none! Here we go...
  • Hapo mwanzo hakuwa na madaraka but hivi sasa yeye ndie kashika usukani... unataka kusema hafahamu kwamba Escrow ilikuwa ni wizi?
  • Yaani kwa kuwa aliyemtangulia alisema pesa ni za Singasinga ndo basi tena yeye hawezi kutia neno?
  • Yeye anamfanyia kazi JK au anaifanyia kazi serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
  • Amechaguliwa na JK au alichaguliwa na wananchi wa Tanzania?
  • Kuna maana gani basi ya kuwa na Rais ambae ataacha kukifanyia kazi kila atakachoambiwa na aliyemtangulia? By the way, huyo Rais mpenda haki ni yupi?
  • Ni yule yule mwenye kashifa ya kuuza nyumba za serikali; au ni yupi hasa?
  • Ni yule yule ambae alitudanganya Watanzania kwamba Wizara yake imenunua boti safi kabisa kwa mabilioni ya pesa na boti hiyo hadi sasa haijawahi kufanya kazi; au ni rais yupi hasa unayesema mpenda haki?
  • Rais mpenda haki anaweza kutumia mabilioni ya pesa kujenga international airport nyumbani kwao ambako hakuna any flight business potential?
Piece of advise: If I were you; I'd opt to keep my mouth shut when I have no answers in exchange to revealing my stupidity in public!
 
Kwahiyo hapo sisi watumiaji ndo imekula kwetu nchi hii ina mambo ya kijinga sana na hili shirika sijui kwanini wanashindwa kulipa mshindani wake kama ilivyo mitandao ya simu mana lingeshajifia siku nyingi huduma mbovu ila maingizo yao makubwa
Lakini ungejua watu wa tanesco wanavyofanya kazi usingediriki hata kusema,ila yakupasa ujue tanesco wanazalisha hiko unachikiona lakini jua serikali ndo inaamua hiki kiende wapi na nadhani ulijionea mwenyewe hata kipindi cha sakata la escrow wapigaji wote waliotajwa na kamati walikuwa viongozi wa serikali na walaw hakukuwa na sura hata moja ya tanesco,hivyo elewa utailaumu tu tanesco maana wanajitahidi lakini wapo wengine wanaitumia baadae wanaanza kuwatupia lawama kuwa hawawekezi kwenye mounting mbinu je watawekeza vp wakati helailopigwa escrow na sasa wanatakiwa walipe hela itoke wapi wakati hela ilishagawanwa na wanaojua kutumia
? Kwani kusingekuwa na kulipa Iptl tanesco wangeshindwa kweli kujiendesha kwa faida? Tulaumu ila tufike mahali hekima ituongoze na si kuwaonea tanesco bwana Denis.
 
From the beginning, you been offensive to me... it's not like I am that offended but I only wanna know if you can afford that if I decide to catch a similar route?! Will you?

That's one but second; can you show me only one of your answers to my questions?

About 10 years + 10 really explains the kind of person I am wasting my time to... you deserve no one's attention especially when you have no answer even to "who elected JPM!"

Fourth: I hate to say this but to be honest, I usually despise anyone running to cheap and worthless supportive arguments!

Anyone, who instead of building constructive argument, will easily jump and say "you were a deal maker... you were the beneficiary of the corrupt system...!" I hate Parrots... who sing whatever is memorized to them by their Masters! Because Mr. Big Boss said so; then all people like parrots sing the same tune!

Lastly, I am back to my questions cuz' you answered none! Here we go...
  • Hapo mwanzo hakuwa na madaraka but hivi sasa yeye ndie kashika usukani... unataka kusema hafahamu kwamba Escrow ilikuwa ni wizi?
  • Yaani kwa kuwa aliyemtangulia alisema pesa ni za Singasinga ndo basi tena yeye hawezi kutia neno?
  • Yeye anamfanyia kazi JK au anaifanyia kazi serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
  • Amechaguliwa na JK au alichaguliwa na wananchi wa Tanzania?
  • Kuna maana gani basi ya kuwa na Rais ambae ataacha kukifanyia kazi kila atakachoambiwa na aliyemtangulia? By the way, huyo Rais mpenda haki ni yupi?
  • Ni yule yule mwenye kashifa ya kuuza nyumba za serikali; au ni yupi hasa?
  • Ni yule yule ambae alitudanganya Watanzania kwamba Wizara yake imenunua boti safi kabisa kwa mabilioni ya pesa na boti hiyo hadi sasa haijawahi kufanya kazi; au ni rais yupi hasa unayesema mpenda haki?
  • Rais mpenda haki anaweza kutumia mabilioni ya pesa kujenga international airport nyumbani kwao ambako hakuna any flight business potential?
Piece of advise: If I were you; I'd opt to keep my mouth shut when I have no answers in exchange to revealing my stupidity in public!

Forgive me if I offended you, Truth is painful but you cant remove it. Lies is juicy but dries up very bitterly. Last laughter is a real grief to the Victor. Let us agree to disagree. Happy new year.
 
Mzimu wa Escrow unaendelea kututafuna. Millioni 400 kila siku na bado walipe na hiyo? [emoji23]
HAPA KAZI TU. WALISEMA ZILE PESA SIYO ZA SERIKALI (NATAMANI NIFE KWA KAULI HIYO), SASA BALAA ZITO ZAIDI KWA WALIPA KODI LIMEKITA VIBAYA SANA. LAKINI WACHACHE WALIOKWAPUA KWA USHAHIDI TUNAWAJUA WAJITOKEZE WARUDISHE. NGELEJA, TIBAIJUKA, JAJI FULANI NA WENGINE WENGI. SASA JAMANI INATIA HURUMA SANA.
 
Lakini ungejua watu wa tanesco wanavyofanya kazi usingediriki hata kusema,ila yakupasa ujue tanesco wanazalisha hiko unachikiona lakini jua serikali ndo inaamua hiki kiende wapi na nadhani ulijionea mwenyewe hata kipindi cha sakata la escrow wapigaji wote waliotajwa na kamati walikuwa viongozi wa serikali na walaw hakukuwa na sura hata moja ya tanesco,hivyo elewa utailaumu tu tanesco maana wanajitahidi lakini wapo wengine wanaitumia baadae wanaanza kuwatupia lawama kuwa hawawekezi kwenye mounting mbinu je watawekeza vp wakati helailopigwa escrow na sasa wanatakiwa walipe hela itoke wapi wakati hela ilishagawanwa na wanaojua kutumia
? Kwani kusingekuwa na kulipa Iptl tanesco wangeshindwa kweli kujiendesha kwa faida? Tulaumu ila tufike mahali hekima ituongoze na si kuwaonea tanesco bwana Denis.

Nakubaliana na wewe. Vitendo vya serikali ya nne ya JK ilikuwa na uwongozi mbovu. Nchi na Wananchi wa Tanzania wana maisha magumu leo ni kwasababu ya uongozi mbovu uliyopita. Ingawaje Rais Magufuli alikuwa kwenye serikali hiyo hiyo lakini mambo mengi yalikuwa yanamuuzi sana. Vitendo vya serikali kuingia mikataba mibovu kwa niaba ya WATANZANIA ni kitendo cha kuhujumu uchumi wetu. Nikitendo mpaka sasa kinatutesa SISI wote. Rais Magufuli anajaribu kuirudishia nchi hii heshima yake na kidogo alichokikuta. Mikataba mibovu iliyopitishwa na serikali iliyopita kisheria hana uwezo ya kuipanguwa. Pamoja na haya kuna viongozi wa mashirika ikiwa Pamoja na Tanesco kwa kuwa kulikuwa hakuna uongozi mzuri walizowea kuchukuwa hatua mbovu za kujinufaisha wenyewe kujilipa bonus kubwa na mishara minono bila kujali wananchi, sasa mambo yamebadilika, lazima waende na mufumo wa serikali MPYA ya Rais Magufuli. Amewaweka wanyonge na nchi mbele na sio watu wachache kama ilivyokuwa serikali iliyopita. Ukiwa na ubinafsi kwenye serikali hii ya watu huwezi kupona utatumbuliwa tu, kwani hii ni serikali ya Watanzania wote sio ya watu wachache.
 
Forgive me if I offended you, Truth is painful but you cant remove it. Lies is juicy but dries up very bitterly. Last laughter is a real grief to the Victor. Let us agree to disagree. Happy new year.
Again answered none of the questions... WHY? Got no answer?! Nah... both you and I know you've ALL answers to my questions but you're scared of the truth because as you said; you know how painful it is! And I hate to say this but to be honest, it's like a monster! When this truth is against your loved one, it crashes and leave lots of pains into your ears when you hear them and too acidic on you tongue when you say them!

But you know what princess; whether you opt to live with it or spill it out... you can't remove it! You said it yourself; alright?!

Happy New Year to you too!!!!
 
From the beginning, you been offensive to me... it's not like I am that offended but I only wanna know if you can afford that if I decide to catch a similar route?! Will you?

That's one but second; can you show me only one of your answers to my questions?

About 10 years + 10 really explains the kind of person I am wasting my time to... you deserve no one's attention especially when you have no answer even to "who elected JPM!"

Fourth: I hate to say this but to be honest, I usually despise anyone running to cheap and worthless supportive arguments!

Anyone, who instead of building constructive argument, will easily jump and say "you were a deal maker... you were the beneficiary of the corrupt system...!" I hate Parrots... who sing whatever is memorized to them by their Masters! Because Mr. Big Boss said so; then all people like parrots sing the same tune!

Lastly, I am back to my questions cuz' you answered none! Here we go...
  • Hapo mwanzo hakuwa na madaraka but hivi sasa yeye ndie kashika usukani... unataka kusema hafahamu kwamba Escrow ilikuwa ni wizi?
  • Yaani kwa kuwa aliyemtangulia alisema pesa ni za Singasinga ndo basi tena yeye hawezi kutia neno?
  • Yeye anamfanyia kazi JK au anaifanyia kazi serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
  • Amechaguliwa na JK au alichaguliwa na wananchi wa Tanzania?
  • Kuna maana gani basi ya kuwa na Rais ambae ataacha kukifanyia kazi kila atakachoambiwa na aliyemtangulia? By the way, huyo Rais mpenda haki ni yupi?
  • Ni yule yule mwenye kashifa ya kuuza nyumba za serikali; au ni yupi hasa?
  • Ni yule yule ambae alitudanganya Watanzania kwamba Wizara yake imenunua boti safi kabisa kwa mabilioni ya pesa na boti hiyo hadi sasa haijawahi kufanya kazi; au ni rais yupi hasa unayesema mpenda haki?
  • Rais mpenda haki anaweza kutumia mabilioni ya pesa kujenga international airport nyumbani kwao ambako hakuna any flight business potential?
Piece of advise: If I were you; I'd opt to keep my mouth shut when I have no answers in exchange to revealing my stupidity in public!

Haujui Kiingereza!
 
Haujui Kiingereza!
Kuna popote niliposema najua Kiingereza? Kama ndiyo; onesha na kama sio basi utakuwa very stupid and as a matter of fact, I can't argue with stupid and shallow minded people!
 
🙂 🙂 🙂 !
 
Swala la escrow ni gumu na ugumu wake unakuja pale ambapo viongozi wa juu wa nchi wamehusika.Hakuna jibu kwa ufisadi wowote ikiwamo Richmond kwa sababu hiyo. Bwana JPM anajivaraguza tu hana jibu lolote hata yeye hakuwa malaika huko serikalini nao wanazijua zake.Hamshangai lugumi!Tusome namba tu mpaka Mesiah arudi. Tuendelee kuumia time will tell.
 
Back
Top Bottom