Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu wa Busara na Hekima, ila mtani, Huko PM mtayajenga. Aliyekuita huenda anataka akupe KAZI fulani.Kwani unanichukuliaje?
Ss ukipata usinisahau aithee /unikumbuke walau kidogo tu au ni mpaka nije PM?Mmh haya ok ok
Ipo ya kunasana nyuchi mkuu.Udanganyifu katika mahusiano ni kitu kikongwe na kinachopigwa vita duniani kote watu kwa maelfu wamepoteza maisha kutokana na ishu za Udanganyifu wivu na kufumaniwa au kufumaniana
Kwa wasambaa kulikuwa na tego moja maarufu sana TEGO LA USINGA tego hili ni baya na lenye nguvu sana ambalo lilitegwa kwenye mapaja ya mwanamke kwa kujulishwa au kwa kutojulishwa
Test yake kama tego linafanya kazi mwanamke angewekewa kipande cha chuma au kisu au panga na kuambiwa akiruke, ambapo kitu hicho kingekatika vipande viwili , kwahiyo hapa mwanamke hana ujanja na anajua fika kinachoendelea
Kwa wale wanawake ambao hawajulishwi ila wana mashaka basi huchukua panga au kitu chochote cha chuma na kukiruka!kikikatika tu anajua hali halisi anatulia. Bahati mbaya sana kuna baadhi ya wanaume huwa hawawaambii wake zao kile walichokifanya na wanawake nao wengine huwa hawana machale na hivyo kusababisha maafa.
Mwanamke mwenye tego la usinga akiingiliwa na mwanaume mwingine yule mwanaume hupigwa na kitu kama shoti na baada ya hapo huanza kuumwa tumbo ambapo hawezi kumaliza masaa sita hufariki huku uume ukiwa umesimama ndii
Usinga si kitu chema kwakuwa hauna dawa na mwanamke hatakiwi kuwa na mtoto mdogo wa kiume ambaye atambeba mara kwa mara
Huu ndio usinga tego baya kabisa enzi hizo usambaani...!
Bahati mbaya wataalam wake wamekufa na ujuzi huo bila kuurithisha kwa yeyote
Ukichelewa sana wanakufa kabisa wote. Haya mambo yapo ila wewe unapotaka kutengeneza kwa ajili ya vijana wa leo ujue utaua watu wote maana kila mtu mzinzi hivyo tafakari kabla ya maamzi.[emoji23]Ipo ya kunasana nyuchi mkuu.
Tego lake tunatumia mbwa wanaofanya mapenzi wamenasana tunawaua kabla hawajaachana kisha tunakata nyeti zikiwa zimeshikana vile vile na kuzikauksha na kuzisaga pamoja in form of powder.
Material mengine ni kisu cha ala kile unachomeka na kuchomoa na mengineyo.
Unakichomoa kinakuwa separately unaweka dawa ndani ya ala then mke unamwambia akuletee ambapo obviously lazima achomeke mwenyewe kisu ndani ya ala na hapo anakuwa kajimaliza mwenyewe .
Wewe ukipokea unaweza ficha popote asione mtu na huruhusiwi kuchomoa ila since akifanya mapenzi na mwanaume mwingine nikunasana kama mbwa kuwatenganisha mpaka uchomoe kisu ulikoficha ndani ya ala ndo wanaachana.
Ukichelewa sana wanakufa kabisa wote. Haya mambo yapo ila wewe unapotaka kutengeneza kwa ajili ya vijana wa leo ujue utaua watu wote maana kila mtu mzinzi hivyo tafakari kabla ya maamzi.
Usibebe hiyo fomula ukadhani imeisha hapo kuna steps na terms and condition za kufuata.
Uwe tayari kupokea watu huko pm wake kwa waume.Mimi nina ujuwa mtego wa kumfunga mwanamke akichepuka yule mwanamme anaye chepuka nae uume wake unakufa hauwezi kuingia ndani ya Papuchi. Na mtego mwengine mke akichepuka na Mwanamme basi yule mwanamme anakufa lakini sifanyi kabisa ni dhambi kwa Mungu. Na vifungo vingi vya kuwafunga wake zetu wasiweze kuchepuka pasipo na madhara ninavijuwa. Kumuinamisha mke kwa mume au mume malaya kumtuliza awe kama kondoo kwa mke wake vyote hivyo ninavijuwa.
Nina shida vp nije pmKaushaa[emoji1550][emoji1550]
Usinga upo mpaka leoUdanganyifu katika mahusiano ni kitu kikongwe na kinachopigwa vita duniani kote watu kwa maelfu wamepoteza maisha kutokana na ishu za Udanganyifu wivu na kufumaniwa au kufumaniana
Kwa wasambaa kulikuwa na tego moja maarufu sana TEGO LA USINGA tego hili ni baya na lenye nguvu sana ambalo lilitegwa kwenye mapaja ya mwanamke kwa kujulishwa au kwa kutojulishwa
Test yake kama tego linafanya kazi mwanamke angewekewa kipande cha chuma au kisu au panga na kuambiwa akiruke, ambapo kitu hicho kingekatika vipande viwili , kwahiyo hapa mwanamke hana ujanja na anajua fika kinachoendelea
Kwa wale wanawake ambao hawajulishwi ila wana mashaka basi huchukua panga au kitu chochote cha chuma na kukiruka!kikikatika tu anajua hali halisi anatulia. Bahati mbaya sana kuna baadhi ya wanaume huwa hawawaambii wake zao kile walichokifanya na wanawake nao wengine huwa hawana machale na hivyo kusababisha maafa.
Mwanamke mwenye tego la usinga akiingiliwa na mwanaume mwingine yule mwanaume hupigwa na kitu kama shoti na baada ya hapo huanza kuumwa tumbo ambapo hawezi kumaliza masaa sita hufariki huku uume ukiwa umesimama ndii
Usinga si kitu chema kwakuwa hauna dawa na mwanamke hatakiwi kuwa na mtoto mdogo wa kiume ambaye atambeba mara kwa mara
Huu ndio usinga tego baya kabisa enzi hizo usambaani...!
Bahati mbaya wataalam wake wamekufa na ujuzi huo bila kuurithisha kwa yeyote
Ndio nipo teyari kupokea watu ni PM tu.Uwe tayari kupokea watu huko pm wake kwa waume.
Mwizi akiuawa damu ya mwizi inakuwa juu ya nani?Duh pale kati noma! Mtu yupo dhadhi apalinde kwa uchawi hata mtu akifa poa tu! Ila je damu ya yule aliekufa itakua juu ya nani? Yake mwenyewe au ya mke au ya yule mume aliemuwekea mkewe tego! Ooh japo mshahara wa dhambi ni mauti!