Tehran: Majaji wawili Ayatollah Mohammad Moghiseh na Ali Razini wauawa, mmoja ajeruhiwa kwenye shambulizi la risasi nje ya mahakama ya juu

Tehran: Majaji wawili Ayatollah Mohammad Moghiseh na Ali Razini wauawa, mmoja ajeruhiwa kwenye shambulizi la risasi nje ya mahakama ya juu

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Yametokea hayo Tehran muda mfupi uliopita

Jaji mmoja alofariki alikuwa maarufu kuhukumu kesi zilizohusisha wapinzani wa Serikali ya Iran

Hadi sasa hakuna taarifa yeyote kutoka Serikali ya Iran au Israel kuhusu wahusika wa tukio hilo baya

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

Times of Israel

January 18, 2025


By Agencies
Today, 11:33 am


Two judges are killed in a shooting attack outside the Supreme Court building in Tehran, state media reports.

“Three judges of the Supreme Court were targeted. Two of them were martyred and one was injured,” the judiciary’s Mizan Online website reports, adding that the “assailant killed himself.”

The judiciary identified the judges who were killed as ayatollahs Mohammad Moghiseh and Ali Razini. Opposition websites have in the past said Moghiseh was involved in trials of people they described as political prisoners.
 
Back
Top Bottom