Tehteh inachekesha kuliko vichekesho vyote humu jamiiforum duh!

Tehteh inachekesha kuliko vichekesho vyote humu jamiiforum duh!

Ða!, Ujue akili ni kitu muhimu sana! Ila Nisamehe kama nimekukosea.
 
kwani wenye pesa hawacheki au hawachekeshi? Upo juu.
 
Ndo upuuzi wa wabongo walio wengi......nani alokwambia muda wote ni wa kutafuta pesa. Kama ni hivyo kwanini basi umeumbwa usiku.

Tabia yako mbaya siku nyingine nikiona unapost napita tu.See him first!!

kwani wenye pesa hawacheki au hawachekeshi? Upo juu.

Huyu jamaa kamiss appointment yake ya Mirembe

Nyie ndio mnanifundisha tabia mbaya ya kutoikosa JF everedei, Mtu anaandika kisichochekesha kisha comment Zenu Ndo zinatuvunja mbav.. Ha ha haa.. Chezea JF wewe!! Hawaachi kitu Hata ukiweka Picha ya chupi ya mkeo / mumeo watacomment..
 
Hahahahahahahahahahahahhhhhhhhhhhhhhh!!!!

Sent from my BlackBerry 9800 using Jamie's
 
Geofrey sanga umeniacha hoi na swali lako hahahahahahaha dah!!!!!!!!hilo nalo neno umelitupa pwaaaaa hehehehehehehe

Sent from my BlackBerry 9800 using Jamie's
 
Daaaaa.......! pole sana kwa ufupi wa mawazo ulionao. Maana hujawaza hatakidogo. I mean umekurupuka.
 
Back
Top Bottom