Ndo upuuzi wa wabongo walio wengi......nani alokwambia muda wote ni wa kutafuta pesa. Kama ni hivyo kwanini basi umeumbwa usiku.
Tabia yako mbaya siku nyingine nikiona unapost napita tu.See him first!!
kwani wenye pesa hawacheki au hawachekeshi? Upo juu.
Huyu jamaa kamiss appointment yake ya Mirembe