Teka Teka yapamba moto Kenya. Wananchi wambana Ruto, Yeye asema abanwe IGP...

Teka Teka yapamba moto Kenya. Wananchi wambana Ruto, Yeye asema abanwe IGP...

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hapo nchi jirani Hali ya Utekaji inatisha

Wananchi wamemwambia Ruto awaachilie watoto Wao Lakini Yeye naye ashangaa hii Teka Teka awataka Wananchi wambane IGP kwani katiba inatamka ndiye Mlinzi wa Raia na Mali zao na Siyo Rais

Source: Citizen TV
 
1732987754560.jpg
 
Walalamike mara ngapi? Mara ngapi wanalalamika na vyombo vya habari vinatangaza Au unajitoa ufahamu
Umewaona Kenya wanavyolalamika Lakini?

Hawasemi Fulani alipigwa Risasi ya kichwa na Fulani bali dizaini ya akina Soka wanatafutwa usiku na mchana 😂
 
Umewaona Kenya wanavyolalamika Lakini?

Hawasemi Fulani alipigwa Risasi ya kichwa na Fulani bali dizaini ya akina Soka wanatafutwa usiku na mchana 😂
Hamna tofauti, wametekwa wamepotea, wakenya wametoka kwa road wana pambania, while wabongo wamelala

Hiyo ndio tofauti, wana udhubutu wa kuibana mamlaka
 
bado sijawasahau Ben Saanane na Azory Gwanda.
roho inaniuma sana kusema ukweli kwa kile walichomfanyia Ali Kibao (R.I.P)
GgSCTrtbQAAEAEU.jpeg
 
Back
Top Bottom