Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Na pia nakumbuka suala la Akwilina lilikuuma sana kamandašbado sijawasahau Ben Saanane na Azory Gwanda.
roho inaniuma sana kusema ukweli kwa kile walichomfanyia Ali Kibao (R.I.P)
View attachment 3194339