Tekashi 69 na usaliti( snitch)

Tekashi 69 na usaliti( snitch)

hooligan01

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
664
Reaction score
539
Watu marufu marekani hasahasa wasanii wa muziki kama 50 cent wameshambulia vikali msanii mwenzao tekashi 69 ambae yuko rumande uku akisubiria hukumu ya miaka 47 ndani.

Sasa swala limekuja baada ya msanii huyo kukubali kusnitch genge lake na kutaja vitendo vyote vihalifu amabavyo walikuwa wakifanya kundi lake la nine trey gang na ukweli wote kuhusu kundi ilo ili aweze kupata plea deal yani apunguziwe kifungo cha miaka.

Pia kuna tetesi msanii huyo amefika mbali kuwataja adi james john na cardi b kuwa wanahuska na kundi ilo la kihalifu marekani.Nieleweke kidogo kusnitch marekani kwa jamii nyeusi ni kosa kubwa sana hasa kwa wahuni ambapo msanii huyo awali alikuwa akiishi maisha ayo na aliwezakusaidia ilo kundi kuwanunulia vitu kama silaha na kadhalika.

Je, msanii huyo kavunja miiko ya kuwa gangsta na uhanahipop au yuko sahh ili kuepuka miaka mingi ndani? Tunapochagua uhuni lazima tujue na matokeo yake badae.

Hawa wakishua wanaojifunza uhuni baadae wanasahau kuwa vitendo ivi vina mwisho wake ndo lilimtokea bwana mdogo.

Pia tukumbuke kuwa bobby shirmuda anaonekana shujaa kwa kitendo alichokifanya kutosnitch wana na kukubali kula miaka ya wenzake ndani ambapo msanii huyu anategemewa kutoka mwakani kama shujaa huku tekashia akitegemea kutoka kama yuda na kutengwa na jamii yake ya uhuni na asipopata ulinzi mzuri anauliwa
 
Post image
 
Hhh uyu anatafuta kifo uraiani
Nine Trey Bloods gang
takeshi hapo amezingua itakua wamembana ili wampunguzie miaka,,sasa hapo ni kisanga akienda jela snitch chamoto atakiona uraiani nako msala......
 
Nine Trey Bloods gang
takeshi hapo amezingua itakua wamembana ili wampunguzie miaka,,sasa hapo ni kisanga akienda jela snitch chamoto atakiona uraiani nako msala......
Daaah sure jela kule wanamua mzee
 
Bora kuishi uraiani kuliko kujifanya shujaa wa kutunza siri,mbona hata TI alimwaga mboga miaka ya nyuma na anadunda tu mpaka leo .
 
Snitching is a New York thing. 69, Frank Lucas, Azie Faison, Lil Cease, and the list goes on.
 
Maisha ya wamarekani ni ya ajabu. Hao celebrity wanamlaumu au huko hakuna kioo cha jamii? Gangs sio jambo zuri iweje umlaumu kumtaja mtu. Kwa maisha yao ukiwa snitch wanaweza wakakuua
 
Eeeh b4 ili zari...50 alkuwaanamchukulia mchizi kama mwanae ila sasa kasema hataki atakuskia call ya mwana akitoka jela
Ni kweli 50 alimpa nafasi kubwa sana naona alimchukulia kama mdogo wake! Ila jamaa huko atakuwa kafinywa sio kidogo mpaka kaona bora a-snitch tu lolote na liwe!!
 
Huyu chalii kawaponza wana kibao..huyo TAY K 47 aliyemtaja kashahukumiwa miaka 55 mwezi uliopita ni member wa kundi la Blood na pia anajihusisha na gang ya huyo chalii...ata suffer sana kwa maamuzi yake
 
Mumble rappers wengi wana usela mavi sana, halafu ni machalii wadogo tuu. Sasa kama huyo dogo alikua anafanya mambo ya ajabu ajabu unaweza ukadhan muhuni kweli, saivi kaminywa pumbu kidogo tuu anaropoka hata ambavyo hajaulizwa.

Snitch Nine amezinguua
IMG_20190922_173915_275.jpeg
 
Back
Top Bottom