hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 539
Watu marufu marekani hasahasa wasanii wa muziki kama 50 cent wameshambulia vikali msanii mwenzao tekashi 69 ambae yuko rumande uku akisubiria hukumu ya miaka 47 ndani.
Sasa swala limekuja baada ya msanii huyo kukubali kusnitch genge lake na kutaja vitendo vyote vihalifu amabavyo walikuwa wakifanya kundi lake la nine trey gang na ukweli wote kuhusu kundi ilo ili aweze kupata plea deal yani apunguziwe kifungo cha miaka.
Pia kuna tetesi msanii huyo amefika mbali kuwataja adi james john na cardi b kuwa wanahuska na kundi ilo la kihalifu marekani.Nieleweke kidogo kusnitch marekani kwa jamii nyeusi ni kosa kubwa sana hasa kwa wahuni ambapo msanii huyo awali alikuwa akiishi maisha ayo na aliwezakusaidia ilo kundi kuwanunulia vitu kama silaha na kadhalika.
Je, msanii huyo kavunja miiko ya kuwa gangsta na uhanahipop au yuko sahh ili kuepuka miaka mingi ndani? Tunapochagua uhuni lazima tujue na matokeo yake badae.
Hawa wakishua wanaojifunza uhuni baadae wanasahau kuwa vitendo ivi vina mwisho wake ndo lilimtokea bwana mdogo.
Pia tukumbuke kuwa bobby shirmuda anaonekana shujaa kwa kitendo alichokifanya kutosnitch wana na kukubali kula miaka ya wenzake ndani ambapo msanii huyu anategemewa kutoka mwakani kama shujaa huku tekashia akitegemea kutoka kama yuda na kutengwa na jamii yake ya uhuni na asipopata ulinzi mzuri anauliwa