Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
Yule kijana mtukutu aliyekua kifungoni na kuachiwa hivi karibuni kwa masharti bwana Tekashi69 karudi kwa kishindo.
Jana 8 may ilikua bday yake na kaachia nyimbo mpya inaitwa GOOBA
The boy is breaking the internet right now,jana kaenda live Instagram with 2M viewers kitu ambayo haijawahitokea kwa artist yeyote.
Tekashi69 /6ix9ine aka The Mexican boy with rainbow hair aka snitch ni 🔥🔥🔥
Tuondoe kidogo stress za COVID-19 na vyuma