Tekashi69 au 6ix9ine is back

Tekashi69 au 6ix9ine is back

Wadau wanasema amebreak algorithm ya YouTube......
 
Daaah muhimu kagoga 43 million on YouTube kwa masaa 24 kitu ambacho haijawahi tokea 🔥🔥🔥RIP 69 in advance
 
This man literally disrupted the you tube algorithms like nothing before...the kid is [emoji91][emoji91][emoji91]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
yaani anaimba vibaya na ile rafudhi ya kimexico ndio duh[emoji16][emoji16][emoji16].
 
Nyimbo zake naona kelele tu.
Au ndio aina pia ya mziki?
 
Back
Top Bottom