Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
Namkubali ila ananichefuaga na marangi yake na nywele na matattoo ingawa ndiyo upekee alionao.
Kwa aliyoyaongea jana alipokuwa live kama ni kweli basi ilikuwa sawa kuwasnitch hao jamaaBlacks wengi sikuizi hawakubali 69 baaada ya kuwa snitch
Now 20hrs 32MKaja moto kinoma yani views 22million within 13hours
Vibe kama lotee mkuu.Are u dumb, stupid or dumb? Hahah full ma vibe
Kafunguka sana jana,thought raia watamsameheHuyu chalii kwa kitendo alichofanya naweza kusema hatachukua round uraiani ma nigga lazima wamrestishe in pacem.
Chumvi kama chumviID yako Chumvini na 69 kama zinarelate ,safi kwa kujipa promo.
I tell a nigga don't dick ride,brick rideβYou're mad, I'm back, Big mad,
He's mad, She's mad, Big sad,
Haha, Don't care, Stay mad...β
View attachment 1445294
YGM