masatujr1985
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,980
- 784
Kati ya waathirika wa cutt off points Ni intake ya UDSM mwaka 2005 especial wale waliomaliza A-level March 2005 na kuambiwa wanaunganisha Chuo Kikuu. Wengi wa waliofaulu vizuri walikuta chuo kishafanya selection na nafasi zilikuwa zimejazwa kwenye programme kama LAW, PSPA, SOCIOLOGY, STATISTICS, GEOG & ENVIRONMENT, etc. hivyo waliochaguliwa wengi waliishia kupelekwa EDUCATION hasa wale waliokuwa wanatoka vijijini kumwambia mzazi siendi chuo kusoma ualimu nasubiri mwakani, Ni dhahiri ilikuwa Ni sawa na kuwafanyia dhihaka wazazi. Hivyo wengi walipelekwa DUCE na walikuwepo vijana ninaowafahamu wenye DIV I point 4, 5, 6 nyingi sana, 7, 8 na 9 zilikuwa za kufikia.Mkuu Pest very true, hata UDSM wapo Prof. ,PhD na Ass. Lect ambao walikuwa walimu tena wa primary! Infact ukichunguza CV nyingi za Lecturers wengi wa Universities nyingi hapa nchini walikuwa walimu, mimi nafikiri ni just mis-conception juu ya hiyo taaluma.
Alafu pia kuna lecturers wa Udsm walikuwa wameajiriwa hapo lakini walikuwa wanafundisha part time sec. schools.So, ni vema huyo jamaa akafanya research may be huyo mwalimu wa History ameshafanya Masters na anafundisha sec. kama part time.
Alafu kuna dhana kwamba wanaosoma ualimu wamefeli, mimi nafikiri watu wabadilike maana kuna watu walikuwa wanachukua Education nimesoma nao core course lakini walikuwa wanaperfom vizuri sana tu na tena walikuwa na same cut off points sec school!
wengine wanasoma edu. kutokana na mahali walikotoka, pata picha mtu katokea zake huko kantalamba afu anakuja udsm anasoma statistics na hana networking na mtu yeyote hapa mjini unafikiri ataipata wapi hiyo ajira?
c.c rolla kimpe KALOKAGATHOS