Tekniki zetu za kung'oa mademu wakali

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Usione Wanaume wanakopa mamikopo makubwa
wanaishia kununua magari ukadhani wanapenda... Hali imekuwa tete siku hizi..Ukiwa na Gari una asilimia 75
za kumpata demu.. Umeenda Samaki Samaki
umemkuta Demu mzuri,ukaanza kupiga
ndogondogo,kila akimaliza unamzungushia round za HEINEKEN basi demu akaanza kukuelewa anajua
Yess..Kapata bonge la bwana,danga si ndo hili!! Basi
umejishaua mwenyewe umeclear Bili kwa
mbwembwe. Umefika muda wa kuondoka demu
ameanza ku-IMAGINE jinsi atakavyoweka Kishoka
kwenye MURANO...KLUGER...PRADO...Akikuangalia mashauzi yako ya kuagiza Drinks,ulivyoulamba na
unavyonukia Paco Rabanne anajua ukikosa saaana
basi kuna SUBARU au XTRAIL imepaki nje...Basi
mmesimama kuondoka demu anasubiria aone kile ki-
ALARM cha mlango wa gari CHWIII CHWII
anashangaa unazidi kuyoyoma kuelekea geti la SAVEI...Anahisi anaota mara anashangaa unapiga
mluzi,"PSSSIIII PSSIIII WEE BAJAJIII SIMAMAA"
Mashauzi yote yale kumbe na wewe unaning'iniza
miguu nje kama yeye? Basi ule muda wewe
unabishana Bei na Dereva wa Bajaj na demu nae
anakutafutia SABABU...Ile unamuita BABE PANDA TWENDE,anakujibu "Babe Mama kanitext hapa kuna
mzigo nikachukue nipeleke kwa BAMDOGO
UBUNGO....Shenzi..Mtu mshahara laki 6 lakini ana
boooonge la Mkopo ili tu anunue VEROSSA ya
kung'olea mademu..
 
Kuishi ukiwa unamkopo unaweza ukafa kwa presha halafu mshahara ni laki 6 kwa mwezi halafu unakopa hela unanunu Murano / Verosa huo ni "UBOYA'' daraja la kwanza!
 
huyo mwanaume ni pimbi kweli tena ujana unamsumbua...unakopa hela kwa ajili ya demu akati mama yako kule ngara anakula ugali wa maboga kila siku..na wadogo zako wanasoma kayumba...mwanaume kama huyo anatakiwa kuchapwa makofi...huyo sio baba bora ni bora baba atakujakujutia mademu kama hao wapo kimasilahi....atakuwa nae leo kesho huyo demu yupo na mtu mwingine...vitu vingine ombeni ushauri kwa vijana wenzenu msifanye vitu kwa kuwafurahisha marafiki ili wakuonekuwa upo na demu mkali....kuweni makini wengi wanaumia kwa hili...kuwafurahisha wenzao...
 
Dah, Umerusha maneno mpaka nimejificha uvunguni mwa kitanda kwa kudhani labda unaniona...
 
Kuwa na mshahara wa laki 6 haina maana hauwezi kuwa na hela ya kununua verosa.... kuna hela nyingine huwa inapatikana apart from salary....
 
Akikua ataacha it's the matter of time.
 
Kuishi ukiwa unamkopo unaweza ukafa kwa presha halafu mshahara ni laki 6 kwa mwezi halafu unakopa hela unanunu Murano / Verosa huo ni "UBOYA'' daraja la kwanza!
Wao wanasema kula bata leo kwa snb hujui kesho ikoje. Wewe una plan kumalizia kibanda chako Mbezi makabe, wenzako wanawaza kung'oa madem wakali. Tunapishana vipaumbele
 
Kuna binadamu wana shida sana nchi hii.

Unaharibu your future kwa starehe za muda mfupi?
 
Mtu kama huyo tunasema ame lack self esteem inayopelekea loose of confidence, mwishowe anabaki kuwa kituko hapa mjini
 
umaskini mbaya sana.. hasa umaskini wa akili..

yaani ununue gari kisa mademu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…